Analitumia hili lijamaa kwa kazi zake maalum ndio mana analitunza kama mashine ya mauajiSijakuelewa
Gentleman,Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu.
Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na kupigwa risasi kichwani.Mafwele alihusishwa na hizi tuhuma.
Leo ametekwa Kada wa Chadema. Mafwele anahusishwa na hizi tuhuma. Lakini rais ambae anatakiwa kulinda uhai wa raia wake kama amiri jeshi mkuu yupo kimya.
N.b kuandika Rais Samia sio kwamba nakubali alipigiwa kura halali na Watanganyika ile Oktoba 29.
IgnonoreGentleman,
Rais wa Tanzania hadeal na porojo nonsense kama hiyo,
anawajibika kuwatumikia wananchi wote na kuwaletea waTanzania wote maendeleo endelevu ya kiuchumi, kijamii na kisiasa bila ubaguzi wala upendeleo.🐒
Ignored dunderheadGentleman,
Rais wa Tanzania hadeal na porojo nonsense kama hiyo,
anawajibika kuwatumikia wananchi wote na kuwaletea waTanzania wote maendeleo endelevu ya kiuchumi, kijamii na kisiasa bila ubaguzi wala upendeleo.🐒
that's upon your nonsense mindset gentleman, I have nothing to do with someone useless decision within free platforms like JF 🐒Ignonore
Ignored dunderhead
How’s that even possible? Yaani awatume yeye halafu yeye huyo huyo awachukulie hatua?Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu.
Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na kupigwa risasi kichwani.Mafwele alihusishwa na hizi tuhuma.
Leo ametekwa Kada wa Chadema. Mafwele anahusishwa na hizi tuhuma. Lakini rais ambae anatakiwa kulinda uhai wa raia wake kama amiri jeshi mkuu yupo kimya.
N.b kuandika Rais Samia sio kwamba nakubali alipigiwa kura halali na Watanganyika ile Oktoba 29.
Weka ushahidi kama aliwatuma, otherwise ni nonsense.How’s that even possible? Yaani awatume yeye halafu yeye huyo huyo awachukulie hatua?
Killing machine ya Rais, ila Tanzania hakuna hata mafia wa kujutegemea kweli nchi ina wajinga wengi nchi zingine mafwele angesha kula chuma muda sanaWatanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu.
Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na kupigwa risasi kichwani.Mafwele alihusishwa na hizi tuhuma.
Leo ametekwa Kada wa Chadema. Mafwele anahusishwa na hizi tuhuma. Lakini rais ambae anatakiwa kulinda uhai wa raia wake kama amiri jeshi mkuu yupo kimya.
N.b kuandika Rais Samia sio kwamba nakubali alipigiwa kura halali na Watanganyika ile Oktoba 29.
Ajabu, ni sawa na alivyoamuru mauaji ya raia okt 29 halafu awachukulie polisi hatua za kinidham!How’s that even possible? Yaani awatume yeye halafu yeye huyo huyo awachukulie hatua?