Rais Samia kama haya huyajui, hata tweets za Martin Maranja Masese kuhusu China Civil Engineering Company na kumuhusu Waziri wako Mwigulu huzioni?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.

Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.

Baadhi ya tweets ni hizi:

Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?

Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.

Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.

Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.

Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.

Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.

MMM
 
Another disgusting and irritating motion! Reference ya tweets unaweza kutumia kutetea hoja yenye kichwa Cha habari kizuri
 
Hiyo profile picture yako ipo kwenye ID zaidi ya 100 humu JF, na zinachangia ujumbe kwa kila uzi/habari.

Ni zipi hasa siri za mafanikio kutumia majina feki mengi hivyo [emoji848]
 
Nani kakwambia huyo unayeshitaki kwake hayumo kwenye mgao ? Royal tour yote Mwigulu alikuwepo, go figure!
 
Screenshot_20220521-114139.jpg
Bobi Wine, Mgeni rasmi Baraza Kuu Chadema 2022
 
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.

Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.

Baadhi ya tweets ni hizi:

Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?

Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.

Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.

Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.

Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.

Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.

MMM

Duuhhh..!!
 
unafikiri Mwigulu hela zote anazitafuta afanyie nini?... kuna wakati tunawabebesha tu bure hawa watu misalaba wakati hizo hela hata hatuoni impact yeyote kwenye maisha yao na wakitoka madarakani hawamalizi hata mwaka wanatia huruma...

Issue ya Urais iko wazi, issue sio hela issue ni wenye connection na kiti wanakukubali au wanakubaliana na wewe kuwa Rais?....
 
jambo lolote linalotrendi mitandaoni hapa nchini kwa kiasi kikubwa BiM anasoma au kupewa taarifa.

So hata hiyo issue ameshaipata but tatizo ni hawezi kuchukua maamuzi magumu, sababu kuna watu ndiyo wamemuweka hapo alipo.
 
Mkuu kesi ya nyani unapeleka kwa hakimu tumbili! unaripoti hii scandal kwa CAG na TAKUKURU walio chini ya System? au unaripoti kwa Raia wajanja waliojificha nyuma ya keyboards?

kwani Mwigu yuko chini ya nani? unadhani bosi wake hayajui hayo? waache wachezee rasilimali zetu hakimu wao anawasubiri!Mwendazake keshatua tayari !

Mama anajua ijumaa hutba zinamwambia "kila mchunga ataulizwa kwa alichokichunga"

ulichofanya ni kuamsha popo! wakijua public imejua mambo yao itasaidia kidogo kufukia mashimo makubwa tu! Kazi nzuri! You have made a point!
 
Muhimu kwetu watumishi ni kuendelea kutafuna pesa hadi CAG atuzoeee, kama walio top wanashindwa kua na uzalendo sisi kina nani. Uzalendo utatukuta kaburini
 
Duh! Hao CCECC ni hatari. Wameanza siku nyingi, nasikia. Godfather yupo Msoga.
 
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.

Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.

Baadhi ya tweets ni hizi:

Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?

Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.

Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.

Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.

Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.

Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.

MMM
Hiyo ndio CCM na hutawasikia wakisema au kuweka wazi mahali popote sio Sukuma gang wala Pwani gang
 
Mkuu kesi ya nyani unapeleka kwa hakimu tumbili! unaripoti hii scandal kwa CAG na TAKUKURU walio chini ya System? au unaripoti kwa Raia wajanja waliojificha nyuma ya keyboards?

kwani Mwigu yuko chini ya nani? unadhani bosi wake hayajui hayo? waache wachezee rasilimali zetu hakimu wao anawasubiri!Mwendazake keshatua tayari !

Mama anajua ijumaa hutba zinamwambia "kila mchunga ataulizwa kwa alichokichunga"

ulichofanya ni kuamsha popo! wakijua public imejua mambo yao itasaidia kidogo kufukia mashimo makubwa tu! Kazi nzuri! You have made a point!
🤣🤣
 
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.

Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.

Baadhi ya tweets ni hizi:

Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?

Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.

Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.

Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.

Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.

Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.

MMM
Samahani naomba kufahamishwa Mwigulu aliingia Madarakani kama Waziri baada ya kuapishwa Samia Suluhu Hassan 19.03.2021... hoja ya Mwigulu kuhusika na tender ya Kampuni yenye miezi 16 kazini imekaaje?

Mpaka sasa Samia ana miezi 14 Ikulu na siku kama 2 hivi... Hii ya kunasibishwa Mwigulu na Samia kwa tender ya kampuni yenye 16 kazini maana yake ilingia kazini January 2021...

Wakati huu Waziri wa fedha ni Makamu wa Rais na Hayati Magufuli akiwa Rais...

Hebu FAFANUENI WANAJAMVI TUELEWE
 
Back
Top Bottom