Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Watakula kwa mishahara yao.Nimemsikia Rais Samia alisema Serikali itapinguza idadi ya Askari Polisi Barabarani Kwa kutumia teknolojia ya kamera maeneo mbali mbali.
My Take
Ni jambo jema ila Sasa Trafiki watakula wapi?
Hizo kamera si zitasimamiwa na watu au zitajiendesha zenyewe? Polisi watazichezea tu. Ni vizuri kila basi iwekwe namba ya simu ya kamanda. Abiria akihisi kuna rushwa anapiga simu kwa kamanda nakala kwa Takukuru.Yes kwa makosa ya speed na bima itakuwa ni vuziru kutumia kamera, lakini sidhani kama kamera pekee yake zitaweza fanya inspection ya ubora wa magari, kukagua mizigo na mengineyo, bado watahitajika askari kwaajiri ya ukaguzi wa magari. Labda ukaguzi kama huu pia ufanyike sehemu ambazo zina kamera pia
Ni rahisi sana kutunxa takwimu za wenye magari na kuyakagua mara 2 au 3 kwa mwaka, simpleYes kwa makosa ya speed na bima itakuwa ni vuziru kutumia kamera, lakini sidhani kama kamera pekee yake zitaweza fanya inspection ya ubora wa magari, kukagua mizigo na mengineyo, bado watahitajika askari kwaajiri ya ukaguzi wa magari. Labda ukaguzi kama huu pia ufanyike sehemu ambazo zina kamera pia
Hapana mkuu, police wakiwezeshwa kuvaa camera itakuwa bonasi, hizi camera zitakuwa mali ya metro na municipalities, na wao wata outsource kwa kampuni ili iwe ndio wahusika wa camera hizi, yaani kama point A wameweka fixed speed camera 📷, motorist aka overspend na kupigwa picha, hizi picha zitachukuliwa na kampuni hii binafsi, ambayo itazipeleka kwa municipalities au metro ambao ndio watakautuma notice kwa mtenda kosa thr physical address ya lile gari lililopo sajiriwa, traffic officer's hawatahusika na camera hizi, ila wakiamua kuweka road block, touch ndio hapo watahusikaHizo kamera si zitasimamiwa na watu au zitajiendesha zenyewe? Polisi watazichezea tu
Ni vizuri kila basi iwekwe namba ya simu ya kamanda. Abiria akihisi kuna rushwa anapiga simu kwa kamanda nakala kwa Takukuru
Kwa ukaguzi vibaki vituo maalumu viwili tu kwa barabara za mikoaYes kwa makosa ya speed na bima itakuwa ni vuziru kutumia kamera, lakini sidhani kama kamera pekee yake zitaweza fanya inspection ya ubora wa magari, kukagua mizigo na mengineyo, bado watahitajika askari kwaajiri ya ukaguzi wa magari. Labda ukaguzi kama huu pia ufanyike sehemu ambazo zina kamera pia
Wata zihujumu kama walioko bandarini wanavyo hujumu bandari hadi ina uzwaKwa hili naunga mkono zifungwe camera za usalama ama rada hii itaondoa rushwa kwa 100%
ha ha ha, flow mita za bandarini hazijawahi kufanya kazi hata siku moja tangu zifungwe itakuwa hivyo vi camera.Camera hazina.maana kama bandari yetu na mapori yetu yanauzwa
Kuna watu watakufa kwa hii ,maana kuna traffic wamejenga nyumba kwa hizi rushwaKwa hili naunga mkono zifungwe camera za usalama ama rada hii itaondoa rushwa kwa 100%
Huo ndo uungwana. Yaani likisemwa zuri unaonyesha appreciation yako.Kwa hili naunga mkono zifungwe camera za usalama ama rada hii itaondoa rushwa kwa 100%