Halafu bado anawambia nadhani huko mliko kwenye maeneo yenu mnapata.Sidhani kama serikali ya ccm inaweza kuwazuia police kukusanya rushwa .Wenyewe ccm wako madarakani kwa kuiba kura,wanawezaje kuwazuia wenzao kupokea rushwa?
Wewe kila linalosemwa na Samia unapata kichefuchefu. Hiyo yakutesa kweli kweliDPW wamegawa rushwa kote yupo kimya anawalinda mpaka leo, hilo igizo aliloenda kulifanya kwa polisi halina maana.
Nenda kaichukue kama inakuhusu. Huku kwenye keyboard hutoipataTunataka bandari yetu
SA ni hub ya ushenzi,usiilete hapa,hata hivyo una hoja ya maana,waizingatieNi kweli my President, ona kati ya Dar na Morogoro ni 194km,ila kuna check points zaidi ya 27!!!,Kasane hadi Gabbs ni 800km,kuna check points 3 tu,Cpt to joberg ni 1400km ,no check points at all !!!
Uko nje ya mada.akuwa na akili.Camera hazina.maana kama bandari yetu na mapori yetu yanauzwa
Uko nje ya mada.Kuwa na akili.Tunataka bandari yetu
Yaan dpw tuu ndo itafanya nisimpe mama yangu Samia kuraCamera hazina.maana kama bandari yetu na mapori yetu yanauzwa
Zitafanyiwa kwenye check points.siyo Kila sehemu polis wanakusimamisha waende kufanya kazi zingine HukoYes kwa makosa ya speed na bima itakuwa ni vuziru kutumia kamera, lakini sidhani kama kamera pekee yake zitaweza fanya inspection ya ubora wa magari, kukagua mizigo na mengineyo, bado watahitajika askari kwaajiri ya ukaguzi wa magari. Labda ukaguzi kama huu pia ufanyike sehemu ambazo zina kamera pia
Akili aitoe wapi huyo!?Uko nje ya mada.Kuwa na akili.
Kwa hiyo walikubali kuajiriwa ili wakalichafue jeshi kwa rushwa?Kwanza hata hyo mishahara masikini ya mungu askari wanapewa kid kiduchu sana makazi yao pia ni duni ssa mnapowafungiwa kamera ni kuwakosesha watoto wao njaaaa
Kwani askari wengine ambao siyo trafiki huwa wanakula wapi? ama hao trafiki peke yao ndo wenye haki kula rushwa?Nimemsikia Rais Samia alisema Serikali itapinguza idadi ya Askari Polisi Barabarani Kwa kutumia teknolojia ya kamera maeneo mbali mbali.
My Take
Ni jambo jema ila Sasa Trafiki watakula wapi?
Popote Tanzania hii pallipo na beria ya polisi hakuna la maana wanalofanya zaidi ya rushwa. Ukipita ukajifanya hutoi rushwa utawekewa zengwe kwa kupekuliwa mpaka uchoke na hata ukitoka hapo hiyo safari unayokwenda inakuwa imeshakuwa na kisirani tayari kwa maana nyingine kunao madereva wanaopata ajali kwa sababu ya kuendesha vyombo vyako kwa hasira na kisirani baada ya kuwa wameshatibuana na hao Askari huko barabarani na hasa kwenye maberia yao.Polisi wa Pale Kitonga,Ruaha Mbuyuni na Berrier ya Iringampaka aibu!wapo pale kwa ajili ya kupokea rushwa na sio kuhudumia Raia!
Wakati mwingine wanalazimisha mpaka kutoa rushwa!Aibu sana
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Zitakuwa za kampuni binafsiZitakuwa zinaharibika kila siku...na traffic polisi watafanya hivyo ili mchezo uendelee
Na labda zitumie solar, kama ni umeme bado ni tatizo
Hapo ni upigaji unatayarishwa.Kamera hazitaondoa rushwa barabarani
Upigaji mpyaHapo ni upigaji unatayarishwa.