Rais Samia kaniangusha na kunisononesha sana ripoti ya CAG 2021-2022

Rais wa katiba kaingia madarakan haliyakua hajui wajibu wake nguvu yake. Daaah! inauma sana yan tumerudi zama za KIKWETE kila mbuzi anakula kwa ulefu wa kamba yake
 
Mahakama zipi unazozungumzia mkuu, hizi hizi za bongo au?
 
Ona huyu chawa!! Takataka kabisa, kuagiza polisi kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa ni ubabe?

Hii nchi inahitaji kiongozi dikteta over
Na huo ndio ukweli hakuna namna nyingine !!
 
Hii nchi italiwa yote awamu hii

Daah kweli mwenye nacho anaongezewa sisi wanyoka tunakufa njaa na familia zetu watu wanajichotea hadi 500billion
Na hawaguswi, sasa jiulize hio billion 500 ingeingizwa kwenye mishahara ni watu wangapi wangekuwa wamelipwa? 🤣 Ila hela yote hio imeliwa na kundi la watu wasiozidi 20.
 
Na bado,muwe mnaelewa kwa nini CCM ni ukoo wa panya wote wapigaji tu wanazidiana viwango tu vya upigaji

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kila anayeenda kazizin haend kufanya kazi bali anaenda kutafuta pesa, zana ya kwenda kufanya kazi siku hizi haipo, mtu anawaza leo nitaingiza shingapi! Nikuwaza waza madili tu sio kazi, ndio maana hata kazi zenyewe hazina uafanis wowote ni majanga tu. Acha tuisome namba...kawimbo kazurii sana huwa nakakubali
 
Ni kweli wanasiasa ni kundi la watu wasiotaka kuongozwa . Ni kundi la watu wasioridhika na vipato vyao. Ni kundi la watu wenye uchu wa madaraka. Ni kundi la watu wanaopenda sana kujilimbikizia Mali . Nilimuona Waitara akilia machozi kila anapowaza kuwa uchaguzi ujao atashindwa vibaya .

Kwa katiba iliyopo Mama Samia haendani nayo mana ni katiba ya Kidikteta.
Katiba hii ya mwaka 1977 inatakiwa Mtu kama Hamfrei Polepole, Bashiru Ali, Dr. Husein Mwinyi, Majaliwa , Mbowe, Ndugai, Dr. Harrison Mwakyembe, Mwigulu, Nape n.k. Hawa wanaweza kuongoza Kidikteta Kwa katiba hii.

Kwa hiyo kama Dr. Samia ana Nia ya kupeleka mbele nchi hii basi alete katiba Mpya mana ndiyo yenye kutoa nguvu Kwa Wananchi kupitia Bunge. Pia inatoa mamlaka Kwa wasimamizi wa Idara na pia mwananchi mmoja mmoja kuisimamia serikali na hata Kupinga ufujaji wa Fedha za umma.

Katiba ya Sasa kila mtu abamwogopa mwenzake mana ni mteule wa Rais.
Mkuu wa Wilaya,DAS ,DED na wakuu wa Idara wote . Hapo wote Wana sharibu wanasubiri maamuzi ya Rais. Hivyo Rais asipomtumbua mwizi aliyemteua basi hakuna wa kusema.

Katiba mpya itaimarisha hata Tume ya maadili ya utumishi wa umma.Watumishi wengi hawana maadili kabisa.
 
Hapana Mkuu.

Mabadiliko popote Duniani yanafanywa na mtu mmoja mwenye roho ya kutaka mabadiliko ya kitu Fulani. Kundi la watu Haliwezi kufanya mabadiliko.

JPM alifanya mabadiliko makubwa sana Kwa muda mfupi.
Mpaka Sasa JPM ndiye aliyewafumbua macho watanzania kujua kuwa Kuna wizi kila mahali mpaka kwenye vyama vya siasa .
JPM alithubutu sana . Ukweli ni kwamba kama angefanikiwa kukaa madarakani Kwa miaka 20 , hii nchi inekua na mabadiliko makubwa sana.

Kagame angekegea Rwanda ingekua kama Burundi lakini mtu mmoja amesinamia kile alichokiamini.

Yesu , Muhamadi ,Musa walita Mageuzi Kwa maelekezo yao bila kubagain na mtu.

Mtu mmoja inaweza kupatikana hata mwezi ujao Kwa Tamko la mtu mmoja TU,Dr. Samia Suluhu Hassan.
Mtu mmoja TU anaweza akavuna Baraza la Mawaziri na kutengua mabalozi wote na maDC na maRC Kwa usiku mmoja.
Mungu anapotoa Kiongozi au Mtawala wa nchi basi ujue anadimama badala ya Mungu katika kutenda haki .
Ni mtu mmoja TU.
 
Hapo unazungumzia katiba mpya!
Kwangu mimi hata katiba mpya ikipitishwa sio mbaya. Kikubwa tuwe na mtu au watu ambao watakuwa wanachukua maamuzi ya haraka kuzuia wizi unaoendelea serikalini.
 
Tatizo la mama ni kutaka kuonekana mwema machoni pa kila mtu. Pia anaogopa kufuata nyayo za mtangulizi wake maana ashaonekana mara nyingi akimkataa. Sasa amejikuta haelewi nini afanye hivyo anajiendea tu.
Hahaha mimi sipendi kufoka foka hahahah

Sasa hivi anasema hadi stupid hahahaha
 
Shida Rais anataka ainekane mwema kwa watanzania…oooh sifoki sasa leo kafoka hahaha

Shida la kutaka aonekane mstaarabu sana na mwema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…