Rais Samia kaniangusha na kunisononesha sana ripoti ya CAG 2021-2022

Sasa mwenye maamuzi na mamlaka juu ya Mfumo huo ni nani?
 
Good point
 
JPM wa ile 1.5t au
 
Kwahio katiba inamtaka raisi asiwachukulie hatua wabadhirifu wa mali za umma au sio? 🤣
Kwamba kila mtu aibe awezavyo tusishikane mikono tu.
Ahahahaha
Kwenye kikao si kulikuwa na wakuu wa vyombo pendwa.
Kila mmoja akafanye kazi yake, hapo wa kufungwa atafungwa, wa kufukuzwa kazi atafukuzwa
 
KUONDOA Mfumo wa kishenzi ni kufukuza wachache kama mfano. Mbona nchi ilitulia na hospitali watu walipokelewa kama hotelini.
Ila kitendo cha yule bwana kufa tu sahizi pharmacy zote za hospitalini hazina dawa hadi ukanunue nje.
You determine how serious people are based on how they solve pressing challenges. Mkuu uendeshaji wa serikali ni mifumo. In short serikali ni protocols na systems na siyo mtu mmoja mmoja. Uozo wa mifumo ndo chanzo Cha mpenda sifa JPM kuwa aliko leo. Mifumo imeoza. Inanuka like huwezi kupambana nayo peke yako! Utaondolewa tu!

Wananchi tuamke Sasa. Wasitubemende na propaganda za ushoga ushoga tunashadidia kumbe waandamizi wapo bize kupishana kukwapua mabilioni ya fedha!
 
Sasa who can rectify zaidi ya raisi. Sababu if everyone hates clean money how can the president survive. Huo mfumo nahisi hata raisi ambaye atataka kubadilisha katiba hii iwape nguvu raia hataweza kumaliza mchakato kabla hajaenda futi 6 ardhini.
 
Achukue hatua muanze kumuita diktekta uchwara?
 
Mh. Rais ametoa agizo washughilikiwe haraka, Najua wahusika tumbo joto huko....sidhani Kama wizara/waziri husika atakubali apoteze kazi kwa kutotekeleza.
 
Magu alifanya hivyo na unajua matokeo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…