MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kawaulize wahusika sio wajibu wangu kuwachukulia hatua.Swali langu kwako mwaka uliopita walichukuliwa hatua gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaulize wahusika sio wajibu wangu kuwachukulia hatua.Swali langu kwako mwaka uliopita walichukuliwa hatua gani?
Rais ameshakuwa mpole kuliko kiasi.KWANZA HIVI NDIO VYEO VYAKE
1) Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2) Mkuu wa nchi na kiongozi namba moja kwa pande zote mbili za Muungano.
3) Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.
Hivyo ni vyeo ambavyo vinamruhusu mheshimiwa raisi kuchukua hatua kwa mtu yoyote wa serikalini ambae anafanya kazi yake kinyume na sheria za nchi, aidha kwa yule anaeiibia serikali, anaetoa rushwa, anaepokea au kuchelewesha mipango ya serikali hasa inayohusu maendeleo nk.
Inasikitisha sana mtu mwenye vyeo hivyo anashindwa, au anasita kuwachukulia hatua kali za kuagiza wakamatwe na kufunguliwa mashtaka wale wote waliopatikana na tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma serikalini na badala yake raisi eti anawaomba tu waachie nafasi zao bila kufungwa au kurudisha fedha hizo.
Hata wale aliosema kwamba kila report zinapofika watu hao hao hukutwa na tuhuma zile zile ilitakiwa wakamtwe kwa tuhuma ile ile ya kwanza na kubanwa vizuri walipozipeleka fedha zetu, badala ya kutaka eti washushwe vyeo au kuhamishwa ofisi.
Yani mwizi wa ndala akamatwe na kufungwa huku mwanasheria wa serikali akitafuna kodi zetu kwa kuendesha kesi yake, afu yule anaeiibia serikali mabilioni ya shilingi ahamishwe tu kituo ili akaendelee na utafunaji wa fedha zetu huko katika ofisi nyingine. Ni kwanini asifukuzwe kazi ili nafasi yake ichukuliwe na mtu mungine na ukizingatia kuna watu wengi wana elimu zao mitaani lakini kazi hawana?
Lakini pia sio aishie kufukuzwa tu bali afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi na mali zake zote zitaifishwe.
China imeweza kupiga hatua duniani baada ya viongozi wa nchi kusimamia vyeo kodi za wananchi wao kwa kutoa adhabu kali kwa yeyote atakaejaribu kugusa fedha za serikali.
Pia hata Rwanda ipo vizuri baada ya raisi wa nchi hiyo kukitumia vyema cheo chake.
Raisi na amiri jeshi mkuu ukibaki kulalamika, unafikiri mawaziri na viongozi wengine wa kawaida wataweza kuwa na uwezo wa kujiamini kuchukua hatua kweli.
Kama kulalamika umeshalalamika kwa zaidi ya miaka miwili sasa lakini upigaji ni ule ule. Sasa kabla ya kuwaambia watu na hili mkalitizame, tunakuomba na wewe kwanza ujitizame kwamba hiyo ndio njia sahihi ya kuendelea ku deal na mafisadi.
Ukicheka na nyani shambani usishangae kuvuna mabua.
Hao wote lazima wachaniwe mkeka mzee Mama hawezi kuacha uozo kwenye uongozi wake na ndio maana leoo ameongea kwa jazba sana hii inaonyesha ni kwa kiasi gani alivyo na uchungu na nchi yetu watanzania inatakiwa tumshukuru Mungu kutupa kiongozi ambae anaweza kusimama mbele na kusema wazi uozo unaofanywa nyuma yake na watu wanaohizi hatojua Mama ni geneous aiseeKWANZA HIVI NDIO VYEO VYAKE
1) Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2) Mkuu wa nchi na kiongozi namba moja kwa pande zote mbili za Muungano.
3) Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.
Hivyo ni vyeo ambavyo vinamruhusu mheshimiwa raisi kuchukua hatua kwa mtu yoyote wa serikalini ambae anafanya kazi yake kinyume na sheria za nchi, aidha kwa yule anaeiibia serikali, anaetoa rushwa, anaepokea au kuchelewesha mipango ya serikali hasa inayohusu maendeleo nk.
Inasikitisha sana mtu mwenye vyeo hivyo anashindwa, au anasita kuwachukulia hatua kali za kuagiza wakamatwe na kufunguliwa mashtaka wale wote waliopatikana na tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma serikalini na badala yake raisi eti anawaomba tu waachie nafasi zao bila kufungwa au kurudisha fedha hizo.
Hata wale aliosema kwamba kila report zinapofika watu hao hao hukutwa na tuhuma zile zile ilitakiwa wakamtwe kwa tuhuma ile ile ya kwanza na kubanwa vizuri walipozipeleka fedha zetu, badala ya kutaka eti washushwe vyeo au kuhamishwa ofisi.
Yani mwizi wa ndala akamatwe na kufungwa huku mwanasheria wa serikali akitafuna kodi zetu kwa kuendesha kesi yake, afu yule anaeiibia serikali mabilioni ya shilingi ahamishwe tu kituo ili akaendelee na utafunaji wa fedha zetu huko katika ofisi nyingine. Ni kwanini asifukuzwe kazi ili nafasi yake ichukuliwe na mtu mungine na ukizingatia kuna watu wengi wana elimu zao mitaani lakini kazi hawana?
Lakini pia sio aishie kufukuzwa tu bali afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi na mali zake zote zitaifishwe.
China imeweza kupiga hatua duniani baada ya viongozi wa nchi kusimamia vyeo kodi za wananchi wao kwa kutoa adhabu kali kwa yeyote atakaejaribu kugusa fedha za serikali.
Pia hata Rwanda ipo vizuri baada ya raisi wa nchi hiyo kukitumia vyema cheo chake.
Raisi na amiri jeshi mkuu ukibaki kulalamika, unafikiri mawaziri na viongozi wengine wa kawaida wataweza kuwa na uwezo wa kujiamini kuchukua hatua kweli.
Kama kulalamika umeshalalamika kwa zaidi ya miaka miwili sasa lakini upigaji ni ule ule. Sasa kabla ya kuwaambia watu na hili mkalitizame, tunakuomba na wewe kwanza ujitizame kwamba hiyo ndio njia sahihi ya kuendelea ku deal na mafisadi.
Ukicheka na nyani shambani usishangae kuvuna mabua.
Punga wewe,nani kakwambia teuzi zinatafutwa jf?
Yuko huku atakusikiaaKWANZA HIVI NDIO VYEO VYAKE

Umeongea kirahis rahis Sana mkuu,hkn wa. Kuwatoa ccm madarakanCCM ni janga kubwa Sana hapa nchini.
Solution ya hiyo "laana" ni kuipiga chini CCM katika uchaguzi ujao
Kama Magufuli angekuwako kungetokea kimoja kati ya hivi viwili:-Sindio viongozi mnaowapenda hao mnalalamika nini sasa? Wanaume wakikamata nchi mnalia lia ooh madikteta. Uliona wapi mtu anayepambana na mwizi akala nae kwenye meza moja.
Kabisa ndugu, sisi wavuvi hadi leo hii mradi wetu haieleweki umeishia wapi. Pesa zilitengwa tangu bajeti ya 2022/2023 kwenye bunge hili la hovyo kabisa, na sasa tunakaribia kuingia mwaka mwingine wa fedha 2023/2024 pasipo mradi kuanza kufanyika. Rais ameshindwa kuchukulia hatua yoyote WEZI, WABADHILIFU NA WANAOCHELEWESHA mradi huo.Mkuu unafikiri kuna rais pale?!!
Pale kuna kivuli tu kisichojitambua.
Inaonekana hata yeye mwenyewe haelewi mamlaka yake ni yapi, yupo kupiga mipasho tu.
Vyovyote vile ila 70% Magufuli aliendesha nchi kama RaisiKama Magufuli angekuwako kungetokea kimoja kati ya hivi viwili:-
1. Either ripoti isingesomwa au ingeletwa nyingine;
2. Kama ingesomwa kama ilivyosomwa, Bwana Charles Kichere yangemkuta ya Prof Assad
Tofauti ni kwamba ukiwa handle hawa watuhumiwa bila kufuata taratibu, huwezi kuwafunga.
Wote ambao Jiwe aliwaswaga rumande kabala ya "preliminary investigation" waliishia kuishi rumande hadi alipokufa.
Na alipokufa wametoka wako huru.
Ripoti ya CAG siyo kila alichokisema ni UFISADI. Bali zingine zinahitaji majibu toka kwa accounting officers.
Kwa hiyo hiyo ripoti itakapokuwa public, kuna cut off time ya accounting officers kutoa majibu ya hoja zao. Zile ambazo hatakuwa ameridhika nazo ndiyo sasa inabidi zifanyiwe kazi na vyombo husika kama TAKUKURU
Hao hawafanyi bila kuagizwa na raisi.Ahahahaha
Kwenye kikao si kulikuwa na wakuu wa vyombo pendwa.
Kila mmoja akafanye kazi yake, hapo wa kufungwa atafungwa, wa kufukuzwa kazi atafukuzwa
Hakuna kitu Kama hicho. Mwaka jana ilikua hivyohivyo, nani anakumbukaa tena ile report?Mh. Rais ametoa agizo washughilikiwe haraka, Najua wahusika tumbo joto huko....sidhani Kama wizara/waziri husika atakubali apoteze kazi kwa kutotekeleza.
Usimlinganishe malaika na binadamu tuliojaa dhambi.Tatizo wala si SSH. Bali ni mfumo uliomfikisha hapo. Wengine wanadai Bora JPM lakini Mimi nasema mfumo kwenye Taifa la mamilioni ya watu haubadilishwi na mtu mmoja.
Fanyeni overhaul ya mfumo mzima uliotengenezwa na ccm.
Otherwise mtawalaumu sana wezi na Rais wenu.
Kwa hii mifumo iliyopo hata akija malaika mkuu Gabriel baada ya miezi kadhaa atakuwa mpiga Dili zaidi ya hawa waliopo!
MkuuKWANZA HIVI NDIO VYEO VYAKE
1) Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2) Mkuu wa nchi na kiongozi namba moja kwa pande zote mbili za Muungano.
3) Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.
Hivyo ni vyeo ambavyo vinamruhusu mheshimiwa raisi kuchukua hatua kwa mtu yoyote wa serikalini ambae anafanya kazi yake kinyume na sheria za nchi, aidha kwa yule anaeiibia serikali, anaetoa rushwa, anaepokea au kuchelewesha mipango ya serikali hasa inayohusu maendeleo nk.
Inasikitisha sana mtu mwenye vyeo hivyo anashindwa, au anasita kuwachukulia hatua kali za kuagiza wakamatwe na kufunguliwa mashtaka wale wote waliopatikana na tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma serikalini na badala yake raisi eti anawaomba tu waachie nafasi zao bila kufungwa au kurudisha fedha hizo.
Hata wale aliosema kwamba kila report zinapofika watu hao hao hukutwa na tuhuma zile zile ilitakiwa wakamtwe kwa tuhuma ile ile ya kwanza na kubanwa vizuri walipozipeleka fedha zetu, badala ya kutaka eti washushwe vyeo au kuhamishwa ofisi.
Yani mwizi wa ndala akamatwe na kufungwa huku mwanasheria wa serikali akitafuna kodi zetu kwa kuendesha kesi yake, afu yule anaeiibia serikali mabilioni ya shilingi ahamishwe tu kituo ili akaendelee na utafunaji wa fedha zetu huko katika ofisi nyingine. Ni kwanini asifukuzwe kazi ili nafasi yake ichukuliwe na mtu mungine na ukizingatia kuna watu wengi wana elimu zao mitaani lakini kazi hawana?
Lakini pia sio aishie kufukuzwa tu bali afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi na mali zake zote zitaifishwe.
China imeweza kupiga hatua duniani baada ya viongozi wa nchi kusimamia vyeo kodi za wananchi wao kwa kutoa adhabu kali kwa yeyote atakaejaribu kugusa fedha za serikali.
Pia hata Rwanda ipo vizuri baada ya raisi wa nchi hiyo kukitumia vyema cheo chake.
Raisi na amiri jeshi mkuu ukibaki kulalamika, unafikiri mawaziri na viongozi wengine wa kawaida wataweza kuwa na uwezo wa kujiamini kuchukua hatua kweli.
Kama kulalamika umeshalalamika kwa zaidi ya miaka miwili sasa lakini upigaji ni ule ule. Sasa kabla ya kuwaambia watu na hili mkalitizame, tunakuomba na wewe kwanza ujitizame kwamba hiyo ndio njia sahihi ya kuendelea ku deal na mafisadi.
Ukicheka na nyani shambani usishangae kuvuna mabua.
Vumilia tu...KWANZA HIVI NDIO VYEO VYAKE

Ni bora muda mwingine ujifunze kunyamaza na kukaa kimya.Ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama,ikithibitika hatua zitachukukiwa..
Kumbuka Rais Samia sio mtu wa mihemko,kukurupuka na ku loose temper kirahisi ,ukifanya hivyo anaweza umiza wengi.
Mfumo huo huo umempaa mamlaka ya kuchukua kuwajibisha wezi wa mali ya umma lakini yeye mwenyewe anashindwa.Tatizo wala si SSH. Bali ni mfumo uliomfikisha hapo. Wengine wanadai Bora JPM lakini Mimi nasema mfumo kwenye Taifa la mamilioni ya watu haubadilishwi na mtu mmoja.