Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

Tulia tu yatazibuka,Ila kurudi kule usijaribu kabisaa,maana ukitundikwa jingine itakuwa kiziwi kabisaa,nilikuona Ila ikanibidi nijifiche.
Pipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wagalatia mnakazana kweli, ila kiukweli mama ni mpaka 2030 uhai ukiwepo
Mpende, msipende ni hivyo
 
Nilijua unaongelea unga wa kubwia, maana nao kwa awamu hii umepamba kona zote za nchi. Wauza unga wote wamerejea nchini, kazi ni kuuza na kujenga majumba. Bado waNigeria nao wamekuwa kibao mitaani [emoji19]. Hapo ni utapeli na unga kukithiri.
 
Wanaomtetea sa100 ni watumishi wa serikali wachache sana, na viongozi wa kuteuliwa. Hata kwenye makundi ya whatsapp, wanaomtetea wengi wao ni viongozi au wanaotegemea kupata teuzi (chawa)
Pole sana kwa yaliyokukuta![emoji1]

Mbona Sina sifa ulizotaja na ninamtetea samia?
Cjaona ubaya alioufanya mpk kuwe na chuki kubwa namna hii
Wanaomsema samia naona wanamhukumu kwa hisia tuh hakuna ushahid wa yote wanayosema zaid ya tuhuma
Utendaji wake wa kazi unaonyesha yuko makini najua mtanipinga kwa matusi bila hoja ya msingi
 
Ongeza sukari hii haijakolea vizuri 😂😂
 
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba inakuja, na bado nyinyi watetezi wa wale jamaa wa ACACIA mtalamba nyasi.

Wanataka tumpe urais mtu anaewatetea hao mabeberu na kutetea haki za ushoga
Wamesahau huyo alifanya mpk ndege ya tz ikazuiliwa
Yaani hawajui adui yao nani wao kila mtu akipinga serikali wanampa support
 

Mkuu karibia watu wote wanaomponda samia ukiwauliza wanakushambulia bila hoja asa hapo ndio utaona wajinga wengi ndio wamechotwa akili
Kikwete alisema akili za kuambiwa changanya na zako
Wao wanachukua za kuambiwa tuh zao hawana
 
Wanataka tumpe urais mtu anaewatetea hao mabeberu na kutetea haki za ushoga
Wamesahau huyo alifanya mpk ndege ya tz ikazuiliwa
Yaani hawajui adui yao nani wao kila mtu akipinga serikali wanampa support
Hawana hoja bro, ila tunatakiwa kupambana nao humu humu, wanajiona wao wasomi, ila kiukweli msomi mzuri huwa hana majivuno na anajiona bado hajasoma, ukiona mtu anajiona msomi, huyo yupo kwenye hatua ya kwanza kielimu, Wala hatua ya pili hajafika, kuiendea Ile ya tatu ambayo ndio usomi wenyewe.
 
Cheap politics...Samia anafaa sana mpaka 2030
 
Hakutumia nguvu sana kama anavyolimaga pale Matimila.Angekudunda hadi ushindwe hata kuandika.Tukutane La Chaz!🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…