Rais Samia kaona hatari ya Sukuma gang na CHADEMA kuungana, anawatenganisha

Ulikosea mwanzo ulivyotumia wingi. Wewe muunge mkono yeyote umpendaye hakuna atakayekushangaa wala kukuuliza.
 
Ni kweli pona pona ya Rais Samia ni ugomvi wa wafuasi wa Chadema na sukuma gang. Siku sukuma gang na chadema wakiuangana ndio mwisho wa CCM.
 
Bora kuwa huru,
Uhuru una thamani ya juu kuliko chochote ndio maana tuliwaondoa wakoloni.
Kipi mtawaliwe kwa nguvu mupate mahitaji yenuya msingi au muishi kwenye huo upigaji watoto wenu wakose ajira na vitu vipande bei kiholela?
 
Mnasahau sisi, MATAGA na Sukuma Gang, sote ni wanasisiem.

Tanzania tuna kundi la wapigaji wanaojiita wapinzani.

2025 msijekulialia tumewaibia kura.

On aibu, CCM inaongoza miaka yote na ufisadi juu. Matrilioni ya hela yameibiwa miaka yote sitini ya Uhuru, umebaki kulaumu upinzani ambao haudai kodi Wala kukusanya Kodi.
 
Acha kuongea uongo. CCM iliyoiba matrilioni kwa ufisadi miaka yote sitini ya Uhuru leo utasemaje kuwa upinzani usiodai Kodi Wala kuwa kwenye serikali ni wezi?. Acha uongo.

Wezi na mafisadi ni CCM.
 
Bora kuwa huru,
Uhuru una thamani ya juu kuliko chochote ndio maana tuliwaondoa wakoloni.
Uhuru usingekuwa na maana mpaka leo serikali ya makaburu ingekuwa madarakani, maana wamefanya maendeleo makubwa hadi kuzishinda nchi nyingi tu za ulaya.

Kwa nini wameondolewa? Na utawala wa weusi ni kama umeshindwa consistency ya kile wameachiwa na makaburu lakini bado haohao ndio wataendelea kushika dola kwa njia ya kura.
 
Ni kweli pona pona ya Rais Samia ni ugomvi wa wafuasi wa Chadema na sukuma gang. Siku sukuma gang na chadema wakiuangana ndio mwisho wa CCM.
Chadema kamwe haiwezi kuungana na wauwaji, labda muwaoneshe Ben saanane yuko wapi.
 
Supporter wa chadema Ila anaahidi kumpigia kura mgombea wa CCM[emoji23][emoji23][emoji23], inashangaza kwa huyu supporter.

Hakuna supporter wa hivi, Ila ni hajiamini tu.

Anajiita supporter wa Chadema halafu anasema Hana chama, huwa anampigia mtu kura na sio chama.
 
On aibu, CCM inaongoza miaka yote na ufisadi juu. Matrilioni ya hela yameibiwa miaka yote sitini ya Uhuru, umebaki kulaumu upinzani ambao haudai kodi Wala kukusanya Kodi.
Two wrongs don't make a right. Tanzania hakuna upinzani wa kweli, ni kikundi cha wahuni na wapigaji kwa kisingizio cha upinzani.

Wana chama chao Umoja Party ambacho kitaingia coaliation na Chadema 2025.
MATAGA na Sukuma Gang ni Wanasisiem na hawawezi kuondoka sisiem.
 
Two wrongs don't make a right. Tanzania hakuna upinzani wa kweli, ni kikundi cha wahuni na wapigaji kwa kisingizio cha upinzani.

MATAGA na Sukuma Gang ni Wanasisiem na hawawezi kuondoka sisiem.
Basi wamuunge mkono Samia, mtu wao keshakufa hata Gwajima hawezi kumfufua
 
Unyama gani wakati ben sanane na tundu lisu kupigwa shaba ni kesi za mbowe na makomando wake ......najua mtapinga ila huo ndiyo ukweli kamili
 
Wewe chadema ilisha kufa na ccm ilishakufa sikuizi watz tunataka wazalendo siyo wanasiasa samia hata akiungana na wapinzani wote ni bure nguvu ya wapenda uzalendo ni kubwa kuliko vyama vya siasa kwa sasa ,
 
Pia ukumbuke asilimia 90% ya wanachama na wafuasi wa chadema ni team sukuma gang tatizo amjui sukuma gang ni nini ,sukuma gang ni nyoyo siyo vyama vya siasa ni kama uzalendo ni nyoyo siyo chama
 
Supporter's wengi wa Chadema tunamuunga mama mkono na miguu, hatuwezi kuungana na genge la wauwaji.
Chadema imekufa kifo cha kibudu niamini mimi ninacho kuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…