Rais Samia kaonesha wazi kutojali uhai wa wananchi wanaopotezwa kwa kusema ni "Drama"

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Hii inahudhunisha sana, inaumiza sana na inakera sana, yaani watu wanapotezwa kila uchwao harafu Rais anaongea kwa dhihaka eti wanafanya drama! , Mzee Ali kibao ni drama? Mdude ni drama? Waliotekwa kisutu na kuteswa na kuvunjwa miguu na mikono ni drama? Azory Gwanda ni drama? Ben saa nane ni drama? Alphonce Mawazo ni drama ? Bado hao wanachama wa CCM wanaopotea ni drama?

Rais anatumia kigezo gani kusema hizo ni drama? Maana yake anajua wote waliopotea walipo au ana maana gani?

Ni muhimu tukawa na uchungu na ndg zetu wanaopotea maana sisi ni ndugu wamoja, ni watanzania haijarishi utofauti wetu wa kiitikadi.

Nb , kutoka 2:11-

Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake. Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?

Ni aibu mtu wa nje aje kutufundisha ndugu namna ya kuishi
 
IMG_20250510_165358.jpg
 
Inahudhunisha✖️ Inahuzunisha✔️
Harafu✖️ Halafu✔️
Kumwua✖️ kumuua✔️
 
Inahudhunisha✖️ Inahuzunisha✔️
Harafu✖️ Halafu✔️
Kumwua✖️ kumuua✔️
Nyinyi ndio mnafanya watanzania kuonekana hamna kitu, unaleta umuhimu sehemu isiyo na umuhimu , na ya muhimu kwako yanaonekana kukosa umuhimu. PUNGUZA UTOTO
 
Hii inahudhunisha sana, inaumiza sana na inakera sana, yaani watu wanapotezwa kila uchwao harafu Rais anaongea kwa dhihaka eti wanafanya drama! , Mzee Ali kibao ni drama? Mdude ni drama? Waliotekwa kisutu na kuteswa na kuvunjwa miguu na mikono ni drama? Azory Gwanda ni drama? Ben saa nane ni drama? Alphonce Mawazo ni drama ? Bado hao wanachama wa CCM wanaopotea ni drama?

Rais anatumia kigezo gani kusema hizo ni drama? Maana yake anajua wote waliopotea walipo au ana maana gani?

Ni muhimu tukawa na uchungu na ndg zetu wanaopotea maana sisi ni ndugu wamoja, ni watanzania haijarishi utofauti wetu wa kiitikadi.

Nb , kutoka 2:11-

Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake. Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?

Ni aibu mtu wa nje aje kutufundisha ndugu namna ya kuishi
Shida ya kuwa na low mandated people kwenye ngazi kubwa ndo hizi sasa
 
Chura kiziwi katika ubora wake. Bado ameshupaza shingo mpaka unabii wote utimie juu yake.

MENE, MENE, TEKELI & PERESI
 
Hii inahudhunisha sana, inaumiza sana na inakera sana, yaani watu wanapotezwa kila uchwao harafu Rais anaongea kwa dhihaka eti wanafanya drama! , Mzee Ali kibao ni drama? Mdude ni drama? Waliotekwa kisutu na kuteswa na kuvunjwa miguu na mikono ni drama? Azory Gwanda ni drama? Ben saa nane ni drama? Alphonce Mawazo ni drama ? Bado hao wanachama wa CCM wanaopotea ni drama?

Rais anatumia kigezo gani kusema hizo ni drama? Maana yake anajua wote waliopotea walipo au ana maana gani?

Ni muhimu tukawa na uchungu na ndg zetu wanaopotea maana sisi ni ndugu wamoja, ni watanzania haijarishi utofauti wetu wa kiitikadi.

Nb , kutoka 2:11-

Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake. Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?

Ni aibu mtu wa nje aje kutufundisha ndugu namna ya kuishi
Wengine wamejibu kwamba walio potezwa baada ya kutekwa eti wamejificha
 
Samia si tu hajali.

Samia hana uwezo wa kujali.

Ni hivi, kujali kunataka akili fulani, kunataka emotional intelligence.

Samia hana hiyo emotional intelligence.

Rais, au hata raia wa kawaida tu, mwenye emotional intelligence hawezi kusema vifo vya watu wanaotekwa ni drama tu.
 
Hii inahudhunisha sana, inaumiza sana na inakera sana, yaani watu wanapotezwa kila uchwao harafu Rais anaongea kwa dhihaka eti wanafanya drama! , Mzee Ali kibao ni drama? Mdude ni drama? Waliotekwa kisutu na kuteswa na kuvunjwa miguu na mikono ni drama? Azory Gwanda ni drama? Ben saa nane ni drama? Alphonce Mawazo ni drama ? Bado hao wanachama wa CCM wanaopotea ni drama?

Rais anatumia kigezo gani kusema hizo ni drama? Maana yake anajua wote waliopotea walipo au ana maana gani?

Ni muhimu tukawa na uchungu na ndg zetu wanaopotea maana sisi ni ndugu wamoja, ni watanzania haijarishi utofauti wetu wa kiitikadi.

Nb , kutoka 2:11-

Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake. Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?

Ni aibu mtu wa nje aje kutufundisha ndugu namna ya kuishi
Kaka mwanamke hajawahi kuwa kiongozi maana yy sio kichwa na inaendelea kujidhihirisha.hata kama mashehe na mamufti watampongeza ni kwa unafiki tu ila pembeni naamini kabisa Samia anatukanwa sana na mashehe.
 
Mungu hadhihakiwi.
Hii inahudhunisha sana, inaumiza sana na inakera sana, yaani watu wanapotezwa kila uchwao harafu Rais anaongea kwa dhihaka eti wanafanya drama! , Mzee Ali kibao ni drama? Mdude ni drama? Waliotekwa kisutu na kuteswa na kuvunjwa miguu na mikono ni drama? Azory Gwanda ni drama? Ben saa nane ni drama? Alphonce Mawazo ni drama ? Bado hao wanachama wa CCM wanaopotea ni drama?

Rais anatumia kigezo gani kusema hizo ni drama? Maana yake anajua wote waliopotea walipo au ana maana gani?

Ni muhimu tukawa na uchungu na ndg zetu wanaopotea maana sisi ni ndugu wamoja, ni watanzania haijarishi utofauti wetu wa kiitikadi.

Nb , kutoka 2:11-

Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake. Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?

Ni aibu mtu wa nje aje kutufundisha ndugu namna ya kuishi
 
Hii inahudhunisha sana, inaumiza sana na inakera sana, yaani watu wanapotezwa kila uchwao harafu Rais anaongea kwa dhihaka eti wanafanya drama! , Mzee Ali kibao ni drama? Mdude ni drama? Waliotekwa kisutu na kuteswa na kuvunjwa miguu na mikono ni drama? Azory Gwanda ni drama? Ben saa nane ni drama? Alphonce Mawazo ni drama ? Bado hao wanachama wa CCM wanaopotea ni drama?

Rais anatumia kigezo gani kusema hizo ni drama? Maana yake anajua wote waliopotea walipo au ana maana gani?

Ni muhimu tukawa na uchungu na ndg zetu wanaopotea maana sisi ni ndugu wamoja, ni watanzania haijarishi utofauti wetu wa kiitikadi.

Nb , kutoka 2:11-

Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake. Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?

Ni aibu mtu wa nje aje kutufundisha ndugu namna ya kuishi
Kuna haja ya kuwapima viongozi wetu afya ya akili & IQ. Ni jambo la kushangaza kuukataa ukweli.
 
Kumbuka mwanamke sio kichwa ndio maana hawezi kuona lazima asema wanaotekwa ni drama ila siku atakapotekwa mwanae na akakutwa amefariki labda ataelewa,mwanamke hujaa dharau hata ktk familia tu mwanamke akiwa na tu hela kidogo tu bichwa linajaa dharau kwa mwanaume wake hivyo tusimshangae Samia suluhu tukubali tulisha kanyaga mavi na hatujui mavi tuliyo kanyaga yatayoka lini kwenye miguu yetu.Salamu kwa Mabeho popote alipo,woga ni kitu kibaya sana hasa ukiwa mwanajeshi ni hasara juu ya hasara.
 
Hii inahudhunisha sana, inaumiza sana na inakera sana, yaani watu wanapotezwa kila uchwao harafu Rais anaongea kwa dhihaka eti wanafanya drama! , Mzee Ali kibao ni drama? Mdude ni drama? Waliotekwa kisutu na kuteswa na kuvunjwa miguu na mikono ni drama? Azory Gwanda ni drama? Ben saa nane ni drama? Alphonce Mawazo ni drama ? Bado hao wanachama wa CCM wanaopotea ni drama?

Rais anatumia kigezo gani kusema hizo ni drama? Maana yake anajua wote waliopotea walipo au ana maana gani?

Ni muhimu tukawa na uchungu na ndg zetu wanaopotea maana sisi ni ndugu wamoja, ni watanzania haijarishi utofauti wetu wa kiitikadi.

Nb , kutoka 2:11-

Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake. Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?

Ni aibu mtu wa nje aje kutufundisha ndugu namna ya kuishi
Watu waliozoea damu kila siku usifikiri watajali mauaji yanayoendelea.
 
Back
Top Bottom