Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Naona umezoea mipasho hadi unaandika taarabu kwa vina , hapo wakati unaandika hii comment inaonekana ulifunga na khanga kiunoni kabisa, mtoto mchele mchele wewe.Nyinyi ndio mnafanya watanzania kuonekana hamna kitu, unaleta umuhimu sehemu isiyo na umuhimu , na ya muhimu kwako yanaonekana kukosa umuhimu. PUNGUZA UTOTO