ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Point !Tuache utani basi... Kwahyo kila janga ni lazima rais ahudhurie? Kulikuwa na haja gani ya kuwa na watumishi wengine?
~Petroli ilipowalipukia watu pale moro mbona rais hakwenda!
~Na wale watoto wa shule ya lucky vicent ulimuona rais?
~Vp kule ziwani kwenye ndege iliyompa umaarufu dogo majaliwa?
~Na pale ukerewe je?
Why kariakoo ndo ionekane so spesho mpaka rais awepo eneo la tukio? Aliowatuma hawatoshei au?
Kizmkazi kashapata fursa Brazil kaona isiwe tabu wacha watajizika wenyeweNinaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Washughulikiwe !Hivi umeziona nondo zilizojengewa kwenye lile jengo? Umeona wingi wa michanga kwenye lile jengo? Waliochimba basement walipewa kibali na nani? Roho za waliokufa kwa uzembe wa wachache zitalipwa na nani?
Relax tu gentleman, na unisamehe sana plz,We jamaa uko na shida kubwa sana. Unajua binafsi Naunga mkono yeye kwenda alikoenda maana hii itaamsha uwajibikaji wa wanaobaki. Sio lazima awepo maana Kama kutokea ishatokea hakuna namna ya kufanya isitokee
Tofautisha kati ya mambo yake binafsi ya kifamilia na ya kitaifa,Aya mumewe/mwanae angekua kwenye kifusi angepata nguvu za kwenda huko.
Yeye ndie raia Namba moja unasemaje hapo.
HUYU NI MTU WA PWANI. WATU WA PWANI OVYO SANA HAWAJALI KABISA WAO NI BATA TUNinaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
she is really crazy and soo stupid[emoji34],im sorry to say this.Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Ndipo utauona Utofauti wa JPM na hao wengine.Tofautisha kati ya mambo yake binafsi ya kifamilia na ya kitaifa,
Tutake radhi tafadhali,mbona pweza wala jioni weye...!HUYU NI MTU WA PWANI. WATU WA PWANI OVYO SANA HAWAJALI KABISA WAO NI BATA TU
Inabidi upewe ulinzi.Kuna haja ya kuwafanyia psychometric tests na analysis hawa wapuuzi kabla ya kuwateua kuwa viongozi , huwezi kuteua jitu lina Iq ya 50 halafu unatarajia jitu kama hilo liwe think-tank ya taifa ,ni upuuzi
Angesafirije na charge ya berry ilikua ishakataa usiruke zaid ya dakika 45 kwa mwez ficha ujinga wakoMagu asingesafiri ninauhakika 200000% yule baba kwanza hakua na ratiba za misele ya nje kwahio hio ratiba isingekuwepo pia
Kifo ni kifoAbdul kama angekuwa amefukiwa sidhani kama angesafiri
Wewe nguvu za kuandika haya umepata wapi. Wacha ujinga mkuuNinaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Personal attacks hizo acha ushamba wewe!! Unajuaje kama anadaiwa au ana jamaa zake wamenaswa chini ya kifusi kiufupi mfariji mkuu ilibidi abaki badala ya kwenda Copacabana β± kula rahaGentleman,
kua mkweli,
machozi yanakutitirika kwasababu ya madeni ya kausha damu unayopitia au ugumu wa maisha unaopitia, huenda kwasababu za uvivu wako?
Hata hivyo mbona ni dhahiri shahiri uchungu wako, wala sio hata kwaajili ya wahanga wa jengo lililoporomoka huko kariokoo ?
Mihemko yako ni dhidi ya jitihada za Rais Dr Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kwamba, licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kiasili na kibinadamu, bado hachoki wala kukata tamaa kuhakikisha anatumia fursa zote zinazoonekana Kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote?
Kamati ya maafa Kitaifa, iliyo chini ya waziri mkuu Kasimu Majaliwa, na makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, ipo kazini tangu kutokea kwa tukio hilo, unahitaji nani afanye nini tena gentleman?
Rais afanye nini zaidi ya hapo gentleman? Hakuna haja ya makasiriko na kuibua hisia potofu zenye chuki dhidi ya mkuu wa nchi.π
Mungu Ibariki Tanzania