Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

Tuache utani basi... Kwahyo kila janga ni lazima rais ahudhurie? Kulikuwa na haja gani ya kuwa na watumishi wengine?

~Petroli ilipowalipukia watu pale moro mbona rais hakwenda!
~Na wale watoto wa shule ya lucky vicent ulimuona rais?
~Vp kule ziwani kwenye ndege iliyompa umaarufu dogo majaliwa?
~Na pale ukerewe je?

Why kariakoo ndo ionekane so spesho mpaka rais awepo eneo la tukio? Aliowatuma hawatoshei au?
Point !
 
Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya

Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].

Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini

Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??

Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?

Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]

Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.

PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Kizmkazi kashapata fursa Brazil kaona isiwe tabu wacha watajizika wenyewe
 
We jamaa uko na shida kubwa sana. Unajua binafsi Naunga mkono yeye kwenda alikoenda maana hii itaamsha uwajibikaji wa wanaobaki. Sio lazima awepo maana Kama kutokea ishatokea hakuna namna ya kufanya isitokee
Relax tu gentleman, na unisamehe sana plz,

wacha tumalizane kwanza na uokozi wa wangwana waliokwama kwenye vifusi,

na bila shaka yoyote tukio hili litakua ni funzo na fursa muhimu zaidi ya mwanzo katika kua makini zaidi katika ujenzi na hasa majengo chipukizi chini ya majengo mazito, makubwa na marefu.

I hope,
Itakapoundwa kamati ya uchunguzi itakuja na mapendekezo muhimu zaidi. Kwasasa ni mapema sana kuhitimisha hili 🐒
 
Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya

Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].

Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini

Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??

Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?

Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]

Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.

PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
HUYU NI MTU WA PWANI. WATU WA PWANI OVYO SANA HAWAJALI KABISA WAO NI BATA TU
 
she is really crazy and soo stupid[emoji34],im sorry to say this.

tumeshuhudia marais wanastopisha ziara za nnje na kurudi haraka nchini kwao kutia moyo na kuwapa faraja wananchi wao, sababu wanamuangalia yeye na serikali yake. but this old woman?? noooo kwake ni bora safari,wananchi mtajua wenyewe[emoji57].

imagine, tena,ni kaliakoo, soko linaloingiza mapato mengi ya nchi, but noooo bora akale raha. hadi uko wanamuona hajielewi.

Samia 2025 no!
 
Kuna haja ya kuwafanyia psychometric tests na analysis hawa wapuuzi kabla ya kuwateua kuwa viongozi , huwezi kuteua jitu lina Iq ya 50 halafu unatarajia jitu kama hilo liwe think-tank ya taifa ,ni upuuzi
Inabidi upewe ulinzi.
 
Magu asingesafiri ninauhakika 200000% yule baba kwanza hakua na ratiba za misele ya nje kwahio hio ratiba isingekuwepo pia
Angesafirije na charge ya berry ilikua ishakataa usiruke zaid ya dakika 45 kwa mwez ficha ujinga wako
 
Sisi raia wa brazil ya buza hatuna shida safari za hangaya 😶‍🌫️😶‍🌫️😶‍🌫️
 
Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya

Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].

Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini

Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??

Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?

Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]

Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.

PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Wewe nguvu za kuandika haya umepata wapi. Wacha ujinga mkuu
 
Yaani wasaidizi wake viongozi wakuu na vyombo vyote vya Dola vipo eneo la tukio, havitoshi mpaka na Raisi awepo?
Huoni hii fursa adhimu kuwepo katika huo mkutano wa G20 na inaweza kuwa na manufaa ya muda mrefu kama tutaitumia vizuri?

Huoni hata Zelensky Huwa anakwenda fasta akialikwa licha ya kwamba Nchi yake Iko vitani?
 
Gentleman,
kua mkweli,
machozi yanakutitirika kwasababu ya madeni ya kausha damu unayopitia au ugumu wa maisha unaopitia, huenda kwasababu za uvivu wako?

Hata hivyo mbona ni dhahiri shahiri uchungu wako, wala sio hata kwaajili ya wahanga wa jengo lililoporomoka huko kariokoo ?

Mihemko yako ni dhidi ya jitihada za Rais Dr Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kwamba, licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kiasili na kibinadamu, bado hachoki wala kukata tamaa kuhakikisha anatumia fursa zote zinazoonekana Kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote?

Kamati ya maafa Kitaifa, iliyo chini ya waziri mkuu Kasimu Majaliwa, na makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, ipo kazini tangu kutokea kwa tukio hilo, unahitaji nani afanye nini tena gentleman?

Rais afanye nini zaidi ya hapo gentleman? Hakuna haja ya makasiriko na kuibua hisia potofu zenye chuki dhidi ya mkuu wa nchi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Personal attacks hizo acha ushamba wewe!! Unajuaje kama anadaiwa au ana jamaa zake wamenaswa chini ya kifusi kiufupi mfariji mkuu ilibidi abaki badala ya kwenda Copacabana ⛱ kula raha
Anyway Kufa ni kufa tulimuelewa
 
Back
Top Bottom