Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

Zelensky mara ya mwisho umemuona lini kuvaa suti??
Na huwa ana attend zile congression kwa ajili ya kupata support ya vita sio kustarehe
 
Personal attacks hizo acha ushamba wewe!! Unajuaje kama anadaiwa au ana jamaa zake wamenaswa chini ya kifusi kiufupi mfariji mkuu ilibidi abaki badala ya kwenda Copacabana ⛱ kula raha
Anyway Kufa ni kufa tulimuelewa
kivip person attack gentleman?
Yaani kueleweshana na kuelezana ukweli imekua anasa gentleman?

Faraja ipi zaidi ya ile ya Rais kuagiza kuagiza na kuamrisha kamati ya maafa chini ya waziri mkuu na vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha wako eneo la tukio na nyenzo zote, usiku na mchana kuhakikisha wanafanya kazi ya uokozi kwa bidii na weledi kunusuru walionasa kwenye vifusi?

kama muungwana ana madeni au jamaa ambao ni wa hanga, pole zake sana lakini pia pole kwa Rais na waTanzania wote.
Mungu amjalie moyo wa subra 🐒
 
Mwakinyo amechukuwa millioni kumi za mama, amempig mtu TKO leo alfajiri.
 
Mama ana uoiga mwingi.
Hapo ndio mjue Ccm hawako serious na maisha yetu
 
Si uliona JPM watu wa Kagera walipo pata shida ya Tetemeko yaani ndani ya risaa limoja alikua amefika kule Bukoba. TUMIENI AKILI VIZURI
 
Kamanda Abduli angekuwa chini ya kifusi Muda huu eneo la tukio mbona kuko flat na watu wore wako nje wakipatiwa Huduma ya Kwanza.
 
Kamati tena. Ipi ulisikia imeleta majibu walau moja tu itaje
 
Ila nyie haters wa mama Samia mna kazi aisee, poleni sana. Si ajabu wengi wenu ni wachawi au mnatoka familia za wachawi.....hili Nina uhakika nalo kabisa.
Maneno yako yanaashiria umezaliwa kwenye tumbo la changudoa
 
usimlaumu Rais huwezi jua ndani ya moyo wake kuna nini, pia nadhani hukumpigia kura awe Rais wa jamhuri..ila ulimpigia kura awe makamu. Haya yanayotokea tuendelee kumsihi Mungu aendelee kutukumbuka na kutukumbatia tangu 2021 alipomtwaa Rais wetu tuliyempigia kura atuongoze hadi 2025.
 
 
kwa mala ya kwanza leo nimekuzarau
 
Unashika biblia wakati unatakiwa ukabebe kifusi , au hiyo biblia ndo itaenda kunyanyua kifusi
 
Kaka mm ni mgeni ila nnaiman matusi hayaruhusiw acha nijikaze ila akili zako haziko timam, wapi ametoa nguvu za kusafir ndugu yangu Hali iliyokua pale siyo nzuri hata kidog labda unaona Kwa nje ila mule ndani ni pagumu hatar watu wanateseka kiasi HADI tuliokua tunatoa msaada Jana tumejikuta wengine tukilia achana na wanaohitaj msaada huwezi kuwasaidia Baki na wanaokufa unawaona wengine wakikwambia na kuomba uwaambie ndugu zao vitu ni vingi HADI kwasisi wenye umri mdogo tunaweweseka ila naamini kama ungekua ndani mule usengeandika huu upumbavu dah
 
Acheni hizo Dunia ya sasa anaweza kuwa na mawasiliano virtually na viongozi waliopo hapa TZ hizo ni chuki za kijinga
 

Kiukweli hao marais wenzake wanamuona hamnazo kabisa sababu kila kiongozi huwa anapewa briefing ya viongozi wengine anaokutana nao.

Sidhani hata wanaweza kumchukulia serious, kama hayuko serious na nchi, watu wake wanakufa, yeye ni bata kwenda mbele.
 
Ndicho anacho weza TU. Kula bata ikiwa watanganyika mnamatatizo km haya.
All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…