Rais Samia kapeleka huduma za maji kila kona ya Nchi

Lingusenguse hakuna maji Safi na salama
 

Hii ni Aibu na Laana, yani tangu uhuru 1961 mpaka leo bado tunaongelea suala la Maji?Kweli? Afrika tunashida gani?
 
Umeandika kweli tupu
 
Amepeleka maji au mabomba?Toka mwenge au kiongozi alipozindua maji yemetoka mara ngapi?
 
Kwa watu kama wewe mleta mada,Wazungu ni sahihi kutuita Nyani.

Jiji la Dar es salaam tu lina maji ya mgao huko vijijini ndio janga kabisa maji ni shida. Ila mazwazwa kama ninyi sijui mnatumia makalio kufikiri..!!!!

Mnacho wazaga ni uchawa na kujikomba komba kwa wakubwa.

Damn fool.
 
Uongo , jana taarifa ya habari ya jana angalia mahali fulani geit wanafukuzwa kutumia chem chem ya maji na mmiliki haya hayo maji yenu ya ccm ndio chem chem au ???
 
Toa upuuzi wako hapa,Kwa hiyo hicho kinachooneshwa sio maji ni mkojo au?
 
Msakuzi tu huku maji hawana

Ova
Sio lazima Kila Kijiji Kila mtaa kuwe na maji.

Wengine wangefanya Kwa Kasi kama Samia basi saizi ingekuwa maji Kila sehemu ila hao wengine hasa Mwendazake hakuna kitu alifanya kwenye issue ya Maji.
 
Kwanza aibu mpaka karne hii mnazungumzia maji,sijui kujenga vyoo vya mashule...nk

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…