Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Si umeona eenhh??!!.Tukisema Wanawake bado hamjafikia kushika nyadhifa za juu ktk nchi muwe mnakubali.
Sisi yetu ni kusema tutamkumbukaOna huo msululu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuku.
Mbona kamuacha bashite kwenye msafara kahofu atamnukisha soksiMbona wachache Sana hebu ongeza na wake zao watoto michepuko na walinzi achilia mbali watu wa usafi , kuandaa malazi, watu wa afya, protocol,food testers na nk
Huyu wanachadema wenzagu anatufuta machozi baada ya JPM kuwa hasafiri anafungua nchi ilikuwa kisiwa
USSR
Umejijambia usoniSio ndio vzr? Kusafirisafiri kwa viongozi huleta uhusiano Mzuri kimataifa.
Naona safari hii maisha yamekuwa nafuu mara baada ya mwenye Roho mbaya kuondoka ambaye hakutaka kusafiri, ambaye alikuwa anawanyanyasa watanzania ambaye.
Rais SSH ona aibu basi, ni fedha za dhuluma kwenye tozo za walalahoi.Naona insta ya ikulu mawasiliano imezuia comments leo pangewaka comments za mwendazke View attachment 1905058
Wanaenda kumshauri rais mpya mbinu za kutumia ili chama chake kitawale muda mrefu.Tatizo sio idadi ya watu anaoongozana nao, tatizo ni watu wa aina gani? wajumbe wa CCM wanafuata nini huko, kwanini hiyo nafasi wasingekwenda wafanyabiashara?
Ccm ndio wanafaidi hii nchiTatizo sio idadi ya watu anaoongozana nao, tatizo ni watu wa aina gani? wajumbe wa CCM wanafuata nini huko, kwanini hiyo nafasi wasingekwenda wafanyabiashara?
Halafu unasikia ATCL inatengeza hasara za Mabillioni na Wa-Tanzania wanashangaa? Itatengeneza faidi saa ngapi wakati midege yenyewe inafanywa Uber na Ikulu badala ya kuchacharika kusafirisha abiria huku na huko. Ndege ya Rais ipo wameitupilia huko?Ndomaana analipenda dege kubwa lile Airbus
Dodoma Hapa Kazi tu linafanya kazi kweli kweli
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za watanzania.
View attachment 1905055
Tozo mamaOna huo msululu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuku.