Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Nashindwa kuelewa Watanzania tumepatwa na ugonjwa gani
Ni ama tunakurupuka Kuzungumza au huwa hatupendi kuyaangalia mambo ktk uhalisia wake.
Ukihesabu hao Watu wanaosemwa ni wengi hapo ni Watu 8 tu.Yani ni kweli tunaamini viongozi nane kuongozana na Rais ni wengi?Nani anategemea Rais asafiri peke yake na mpambe?
Tuache umbumbumbu, tuyaangalie mambo Kwa uhalisia
 
Dhalimu hakutaka kusafiri kwenda nje ya maana kiingereza kilikuwa kinamsumbua. lakini safari zake za hapa nchini yalikuwa ni matumizi ya hovyo ya pesa za wananchi. Usidhani hatuna uwezo wa kutofautisha matumizi sahihi ya pesa za umma.
Lakini tozo hazikuwepo

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Mbaya zaidi kiongozi wa serikali ni mmoja tu, wa ccm ndio wametawala hii ni ziara ya kichama na sio kiserikali... Mama ameweka mbele maslahi ya chama chake kuliko serikali! Nilitegemea kama kuongozana na watu angeongozana na watalaam na baadhi ya wafanyabishara ila leo nimejua mama ni empty kabisa
Kwenye Sherehe ya kuapishwa Kiongozi wafanyibiashara wa nini mkuu? Au unafikiri kule Kutakuwa na kikao?
 
Nashindwa kuelewa Watanzania tumepatwa na ugonjwa gani
Ni ama tunakurupuka Kuzungumza au huwa hatupendi kuyaangalia mambo ktk uhalisia wake.
Ukihesabu hao Watu wanaosemwa ni wengi hapo ni Watu 8 tu.Yani ni kweli tunaamini viongozi nane kuongozana na Rais ni wengi?Nani anategemea Rais asafiri peke yake na mpambe?
Tuache umbumbumbu, tuyaangalie mambo Kwa uhalisia
Waitara anakweda Zambia kufanya nn?😂😂😂
 
Si mlisema mama anafungua nchi?? Sasa atafunguaje pasipo kusafiri na delegates wakutosha??

Mimi nawaambia baada ya miaka 5 ndiyo tutajua kama wanawake wanaweza au hawawezi kwenye nafasi nyeti ingawa mpaka sasa ni miezi 5 tu lakini kishaonesha udhaifu mkubwa sana wa kiuongozi.

Sijui hiyo mitano ikiisha hali itakuwaje. Tuombe tu MUNGU kwakweli.
 
Back
Top Bottom