Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

We jamaa ni pimbi kabisa... hilo dege kutua hapo lusaka ni pesa zaidi ya tsh 30m kama malipo ya parking, bado hujalipa kodi na pesa za malazi. Kwa ujumla 0.5B TSH lazima ipotee.

You stupid shithole..

Parking ya ndege unajua calculation yake.? Kumbe ww shithole kabisa.

Parking ya A220 per day ni $20 tu hapo tena Airport na sbb ni mwaliko wa Rais wa Zambia, parking, landing, navigation fees kuna waiver.
Kwa Dar airport, parking fee ya A220 per day haizidi $ 10

Ww shithole umetoa wapi ths 30 million? Unafikiri ndege zingefanya business ingekuwa ghali hivyo? Sbb ww ni shithole unaongea tu.

Mbaya zaidi kiongozi wa serikali ni mmoja tu, wa ccm ndio wametawala hii ni ziara ya kichama na sio kiserikali... Mama ameweka mbele maslahi ya chama chake kuliko serikali! Nilitegemea kama kuongozana na watu angeongozana na watalaam na baadhi ya wafanyabishara ila leo nimejua mama ni empty kabisa
Anajikombe 2025 wampitishe ndio atajua hajui
 
Zambia walioshinda uchaguzi ni wapinzani. Angemchukua angalau Dovutwa kuonesha sera yetu ya taifa ni kwenda na ulimwengu unavyo enda.
Huku kwetu wenye maarifa/mawazo ni maadui wa watawala, Tujifunze kwa Rais wa Botswana ambaye katika msafara wake kwenda kumwapisha Rais mteule wa Zambia, ameambatana na opposition leader. Sisi wakwetu tumewasweka rumande!! Rais wa Botswana hakika anajua ipo siku huyu opposition leader ataongoza nchi hivyo anammenter, kwanini Botswana isiwe na uchumi mzuri???? Kwa mawazo haya?
 
Rais wa Botswana amejifunza kwa Zambia kuwa ipo siku na yeye atakuwa mpinzani
 
You stupid shithole..

Parking ya ndege unajua calculation yake.? Kumbe ww shithole kabisa.

Parking ya A220 per day ni $20 tu hapo tena Airport na sbb ni mwaliko wa Rais wa Zambia, parking, landing, navigation fees kuna waiver.
Kwa Dar airport, parking fee ya A220 per day haizidi $ 10

Ww shithole umetoa wapi ths 30 million? Unafikiri ndege zingefanya business ingekuwa ghali hivyo? Sbb ww ni shithole unaongea tu.

Ooh kumbe Ndege inasafiri kwa Maji na sio mafuta?
 
Watanzania huwa tuna jifanya wajanja lakini this time tumepatikana Kwa mama, kwanza mweupe kichwani bonge la janga, yupo yupo kama bendera.
 
Huku kwetu wenye maarifa/mawazo ni maadui wa watawala, Tujifunze kwa Rais wa Botswana ambaye katika msafara wake kwenda kumwapisha Rais mteule wa Zambia, ameambatana na opposition leader. Sisi wakwetu tumewasweka rumande!! Rais wa Botswana hakika anajua ipo siku huyu opposition leader ataongoza nchi hivyo anammenter, kwanini Botswana isiwe na uchumi mzuri???? Kwa mawazo haya?

Kuna upinzani wenye tija na upinzani usiokuwa na tija. Sisi upinzani wetu ni ule ambao hauna tija, at least on average. I can guarantee you, kama kwenye huo msafara angekuwemo kiongozi yeyote wa upinzani, huyo kiongozi wa upinzani (awe Zitto, Mnyika au mwingine yeyote) sasa hivi angekuwa ameshaitwa kila aina ya jina!
 
Ona huo msururu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuki.
Hao ni kwaajili ya kumuombea dua

Taarifa zinasema Kule ametengewa msikiti mmoja wa kuswali swala ya Adhuhur na Alasir, sasa unataka akaswali peke yake msikiti mzima, wewe ungeweza?

Hao Wakristo wawili ni walinzi tu
 
Back
Top Bottom