figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Aisee!Hakuna chochote mtajacho kifanya rais katiba imempa nguvu sana.
Amka ukanye usije jinyea kitandaniHakuna chochote mtajacho kifanya rais katiba imempa nguvu sana.
hakuna haja ya kuizima hiyo struggle ya CHADEMA, vyama 18 vitashiriki uchaguzi, CDM watakuwa na hiyo no slogan ya NRNE mpaka 2030 kama kitaendela ku-existHuu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa.
Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru.
Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu.
This time Mheshimiwa Rais atajua nguvu ya Wakristo. Na mtu wamsposema mfumo Kristo unavyofanya kazi. Hachomoki
Hii inatoa fursa kwake kutafakari upya ushauri anaopewa.
Kwa Msingi huo, Kanisa la Gwajima litafunguliwa bila masharti.
Pili moto wa no reforms no Election hawawezi uzima tena.. Gari limewaka
Mdini sana huyu mamaHuu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa.
Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru.
Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu.
This time Mheshimiwa Rais atajua nguvu ya Wakristo. Na mtu wamsposema mfumo Kristo unavyofanya kazi. Hachomoki
Hii inatoa fursa kwake kutafakari upya ushauri anaopewa.
Kwa Msingi huo, Kanisa la Gwajima litafunguliwa bila masharti.
Pili moto wa no reforms no Election hawawezi uzima tena.. Gari limewaka
waislamu wamefunga kanisa?? pambaneni kwanza hiyo defunct slogan ya NRNEUkimya wa Waislam wengi unaonyesha kuunga mkono udhalimu wa rais ambaye pia ni muisam mwenzao. Ni wakati Sasa wa kulianzisha dhidi ya Waislam. Kanisa limefungwa bila kufuata Sheria.
Aloanzisha kulaani utekaji na uuaji siyo Gwajima ni Lissu. Gwajima anaendeleza kulaani kama mimi ninavyolaani.Hili amelianzisha Gwajima kwa makusudi.
Sijaona sehemu Rais Samia ameingia huo mtego wenu wa kitoto.
Huu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa.
Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru.
Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu.
This time Mheshimiwa Rais atajua nguvu ya Wakristo. Na mtu wamsposema mfumo Kristo unavyofanya kazi. Hachomoki
Hii inatoa fursa kwake kutafakari upya ushauri anaopewa.
Kwa Msingi huo, Kanisa la Gwajima litafunguliwa bila masharti.
Pili moto wa no reforms no Election hawawezi uzima tena.. Gari limewaka
gwajima amedandia mada baada ya kuona uwezekano wa kurudi bungeni ni zero, ndyo akaamua ajaribu kumwaga mboga, sasa yamemkuta ya KAISARIAloanzisha kulaani utekaji na uuaji siyo Gwajima ni Lissu. Gwajima anaendeleza kulaani kama mimi ninavyolaani.
Tumia akili ,nyie machawa ndio mnaompoteza kwa kuongea uongo na kusifu kila kituHili amelianzisha Gwajima kwa makusudi.