Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Je hoja aliyoidandia haina ukweli?gwajima amedandia mada baada ya kuona uwezekano wa kurudi bungeni ni zero, ndyo akaamua ajaribu kumwaga mboga, sasa yamemkuta ya KAISARI
Kwamba ana chuki binafsi?
Basi tuseme wewe umesema kweli, tukimwacha yeye sasa, je hoja zake alizoongea mbona hazijibiwi na Serikali inayotuhumiwa kwa mauaji na utekaji kutoka vyanzo mbali mbali?