Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Nyie wakrsto lalamiken abdul yupo dubai analinda mabilion ya familia
Chadema ipo na itaendelea kuepo , wapangao hujuma juu ya chama ichi ,wajipange,kama ni nduguyo muonye, watatembea kama upepo, kuna damu nyingi jimemwagika juu ya chama ichi na zipo zinaendelea kunena yaliyo mema juu ya chama ichi, so mtu aejaribu kudhuru chama ichi anajichimbia kaburi ,tunzeni hii.hakuna haja ya kuizima hiyo struggle ya CHADEMA, vyama 18 vitashiriki uchaguzi, CDM watakuwa na hiyo no slogan ya NRNE mpaka 2030 kama kitaendela ku-exist
Hivi Ali kibao alikuwa mkristo?Huu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa.
Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru.
Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu.
This time Mheshimiwa Rais atajua nguvu ya Wakristo. Na mtu wamsposema mfumo Kristo unavyofanya kazi. Hachomoki
Hii inatoa fursa kwake kutafakari upya ushauri anaopewa.
Kwa Msingi huo, Kanisa la Gwajima litafunguliwa bila masharti.
Pili moto wa no reforms no Election hawawezi uzima tena.. Gari limewaka
Gwajima ni mtumishi wa Mungu amekemea watu wasitekwe, hapo kakosea nini? Kwahiyo Mtumishi wa Mungu asikemee maovu kisa kuogopa serikali?Hili amelianzisha Gwajima kwa makusudi.
Sijaona sehemu Rais Samia ameingia huo mtego wenu wa kitoto.
kwani nani amesema chadema imekufa, itaendelea ku-trend na slogani ya NRNE bila kuwepo bungeni mpaka 2023Chadema ipo na itaendelea kuepo , wapangao hujuma juu ya chama ichi ,wajipange,kama ni nduguyo muonye, watatembea kama upepo, kuna damu nyingi jimemwagika juu ya chama ichi na zipo zinaendelea kunena yaliyo mema juu ya chama ichi, so mtu aejaribu kudhuru chama ichi anajichimbia kaburi ,tunzeni hii.
Samia hajui siasa na ni mjingamjinga tu anajibu kila kitu kwa mihemko ya taarabu za mipasho bila hata kujiwekea plausible deniability.Huu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa.
Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru.
Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu.
This time Mheshimiwa Rais atajua nguvu ya Wakristo. Na mtu wamsposema mfumo Kristo unavyofanya kazi. Hachomoki
Hii inatoa fursa kwake kutafakari upya ushauri anaopewa.
Kwa Msingi huo, Kanisa la Gwajima litafunguliwa bila masharti.
Pili moto wa no reforms no Election hawawezi uzima tena.. Gari limewaka
Hili amelianzisha Gwajima kwa makusudi.
Sijaona sehemu Rais Samia ameingia huo mtego wenu wa kitoto.
Kila mtu huwa anapenda aongoze watu wanaomkubali, hata kama hatuna cha kumfanya ila anaumia sana kuongoza watu wasiomkubali sema tu hana cha kufanya.Hakuna chochote mtajacho kifanya rais katiba imempa nguvu sana.
Hata nchi nzima tukigoma kupiga kura hiyo October. Tulia yajayo ni magumu ila inawezekana.Hakuna chochote mtajacho kifanya rais katiba imempa nguvu sana.
NRNEHuu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa.
Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru.
Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu.
This time Mheshimiwa Rais atajua nguvu ya Wakristo. Na mtu wamsposema mfumo Kristo unavyofanya kazi. Hachomoki
Hii inatoa fursa kwake kutafakari upya ushauri anaopewa.
Kwa Msingi huo, Kanisa la Gwajima litafunguliwa bila masharti.
Pili moto wa no reforms no Election hawawezi uzima tena.. Gari limewaka
Nguvu ya Umma Haijawahi KushindwaHakuna chochote mtajacho kifanya rais katiba imempa nguvu sana.
Huu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa.
Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru.
Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu.
This time Mheshimiwa Rais atajua nguvu ya Wakristo. Na mtu wamsposema mfumo Kristo unavyofanya kazi. Hachomoki
Hii inatoa fursa kwake kutafakari upya ushauri anaopewa.
Kwa Msingi huo, Kanisa la Gwajima litafunguliwa bila masharti.
Pili moto wa no reforms no Election hawawezi uzima tena.. Gari limewaka
Zilizopo ni Bendera za CHADEMA tu ila CHADEMA yenyewe haipo. CHADEMA imeondoka na Mbowe. No more!!!Chadema ipo na itaendelea kuepo , wapangao hujuma juu ya chama ichi ,wajipange,kama ni nduguyo muonye, watatembea kama upepo, kuna damu nyingi jimemwagika juu ya chama ichi na zipo zinaendelea kunena yaliyo mema juu ya chama ichi, so mtu aejaribu kudhuru chama ichi anajichimbia kaburi ,tunzeni hii.
Kama naota nenda kalifungue ili tukuone ubavu wako.Amka ukanye usije jinyea kitandani
Narudia tena hakuna chochote mnacho weza kufanya zaidi ya kupiga kelele mitandaoni tu,kwanza watu wanao jua kuwa kanisa la Gwajima limefungwa wenda hata 5% ya watz hawafiki.Aisee!
Nilikuwa sifahamu kuwa Watu wenye akili kama hizi ulizonazo bado wapo hapa duniani.