DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
..AND WE ARE ALMOST REACHING OUR DESTINATIONHaina shida twende tu safari bado inaendelea
..AND WE ARE ALMOST REACHING OUR DESTINATIONHaina shida twende tu safari bado inaendelea
Iyo destination iyo , nacheka kama mazuri, kweli Mungu fundi kaamua kuwatia opofu..AND WE ARE ALMOST REACHING OUR DESTINATION
Gadafi alifanyiwa figiso na USA kama walivyo fanya kwa SADAM, unafurahia show za mabeberu??
Mungu wangu ni wa viwango vya juu sana, sio wa mchezo mchezo mkuuau unamtegemea Mungu Lisuu na Gwaji boy?,
Mungu hapangiwi viwango, yeye ni α na ΩMungu wangu ni wa viwango vya juu sana, sio wa mchezo mchezo mkuu
Mbona misikiti haifungwiHakuna cha mtego hapo wala nini.
Ni wivu tu kwa wakristo kuona nchi inaongozwa na Muislam na mambo yanaenda vema tu.
Kila kitu kina threshold mzee, Wewe ulitegemea Hii Push ya Mitandaoni?Hiyo nguvu ya uma itaonekanaje wakati mkiitwa mitaani kuandamana ili muoneshe hiyo nguvu unakujia mikia matakoni?
Ungeanza kuuliza mbona Katoliki, Kkkt hayaja fungwa?Mbona misikiti haifungwi
Silka ya waislamu usimama na muislam hata kama ni muovu maadamu tu awe ni muislam Uovu wake sio shida kwao.Ukimya wa Waislam wengi unaonyesha kuunga mkono udhalimu wa rais ambaye pia ni muisam mwenzao. Ni wakati Sasa wa kulianzisha dhidi ya Waislam. Kanisa limefungwa bila kufuata Sheria.
Never my friendHuu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa.
Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru.
Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu.
This time Mheshimiwa Rais atajua nguvu ya Wakristo. Na mtu wamsposema mfumo Kristo unavyofanya kazi. Hachomoki
Hii inatoa fursa kwake kutafakari upya ushauri anaopewa.
Kwa Msingi huo, Kanisa la Gwajima litafunguliwa bila masharti.
Pili moto wa no reforms no Election hawawezi uzima tena.. Gari limewaka
Kwan yanasapoti utekaji ubakaji ufiraji mauaji na ufirauni wenu?Ungeanza kuuliza mbona Katoliki, Kkkt hayaja fungwa?
Ungekua unaakili sana.
Haijasajiliwa, Gwaji boy ni lunatic, mpinga uislamUfufuo na uzima imesajiliwa kama taasisi ikiwa na waumini zaidi ya elf 20 na makanisa elf 2 nchi nzima na nje ya nchi.
Unawanyima vipi watu haki ya kuabudu hii ni kinyume na katiba.
Pambana hoja na mtu mmoja na sio taasisi.
Kushindwa kujibu hoja zake kuna husiana vipi na kuifungia taasisi.
Mungu yupi?MWENYEZI MUNGU anaenda kulipa mda si mrefu
Hakuna chochote mtajacho kifanya rais katiba imempa nguvu sana.
Huna hoja zaidi ya chuki yako kwa Rais, kisa ni mwislam.Kwan yanasapoti utekaji ubakaji ufiraji mauaji na ufirauni wenu?