Rais Samia Kashaingia kwenye 18 za Mfumo wa Udini. Hachomoki

Nyie wakrsto lalamiken abdul yupo dubai analinda mabilion ya familia
 
hakuna haja ya kuizima hiyo struggle ya CHADEMA, vyama 18 vitashiriki uchaguzi, CDM watakuwa na hiyo no slogan ya NRNE mpaka 2030 kama kitaendela ku-exist
Chadema ipo na itaendelea kuepo , wapangao hujuma juu ya chama ichi ,wajipange,kama ni nduguyo muonye, watatembea kama upepo, kuna damu nyingi jimemwagika juu ya chama ichi na zipo zinaendelea kunena yaliyo mema juu ya chama ichi, so mtu aejaribu kudhuru chama ichi anajichimbia kaburi ,tunzeni hii.
 
Hivi Ali kibao alikuwa mkristo?
 
Hili amelianzisha Gwajima kwa makusudi.

Sijaona sehemu Rais Samia ameingia huo mtego wenu wa kitoto.
Gwajima ni mtumishi wa Mungu amekemea watu wasitekwe, hapo kakosea nini? Kwahiyo Mtumishi wa Mungu asikemee maovu kisa kuogopa serikali?
 
Mungu na ufanye kama nilivyokuomba jana.
 
kwani nani amesema chadema imekufa, itaendelea ku-trend na slogani ya NRNE bila kuwepo bungeni mpaka 2023
 
Samia hajui siasa na ni mjingamjinga tu anajibu kila kitu kwa mihemko ya taarabu za mipasho bila hata kujiwekea plausible deniability.

Hajui kuwa rais ni Comforter in Chief anawaambia watu kifo ni kifo tu. Anatetea watekaji na kukemea wanaokemea watekaji.

Bahati yake yupo Tanzania tu nchi nyingine wangemu impeach.
 
Kwa kweli hali siyo nzuri huku mitaani. Upigaji wa kura kwa wananchi inahitaji hamasa kubwa vinginevyo wapiga kura watakuwa wachache sana.
 
Samia ni mwana siasa, hawana dini wale, usimchanganyie dini na siasa.
 
Hakuna chochote mtajacho kifanya rais katiba imempa nguvu sana.
Kila mtu huwa anapenda aongoze watu wanaomkubali, hata kama hatuna cha kumfanya ila anaumia sana kuongoza watu wasiomkubali sema tu hana cha kufanya.
 
Kanisa halifunguliwi we endelea kubweka mtandaoni, kama vita ya udini mnaitaka kweli ianzisheni physically tuone.
 
NRNE
 

Zilizopo ni Bendera za CHADEMA tu ila CHADEMA yenyewe haipo. CHADEMA imeondoka na Mbowe. No more!!!
 
Siku zote kuna zimwi la udini linaambaa ambaa anga ya Tanzania. Linahitaji kuchokonolewa kidogo tu litumalize. Watu wanavyoongezeka na maisha kuwa magumu ndivyo nalo linavyozidi kupata nguvu. Iundwe tume ya kitaifa ya kulidhibiti.

Nina wasiwasi mwisho wetu unaweza kuwa kama ule uliozaa India na Pakistan.
 
Aisee!
Nilikuwa sifahamu kuwa Watu wenye akili kama hizi ulizonazo bado wapo hapa duniani.
Narudia tena hakuna chochote mnacho weza kufanya zaidi ya kupiga kelele mitandaoni tu,kwanza watu wanao jua kuwa kanisa la Gwajima limefungwa wenda hata 5% ya watz hawafiki.
Kanisa la gwajima litafungwa litasahulika na maisha yataendelea kama kawaida hamna chochote mnacho weza kufanya dhidi ya serikali.
Afrika mtu akisha kuwa kiongozi anajivisha umungu Rwanda tu hapo kagame kafunga maelfu ya makanisa na hajafanywa chochote sembuse samia aliye funga kanisa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…