Rais Samia Kashaingia kwenye 18 za Mfumo wa Udini. Hachomoki

gwajima amedandia mada baada ya kuona uwezekano wa kurudi bungeni ni zero, ndyo akaamua ajaribu kumwaga mboga, sasa yamemkuta ya KAISARI
Je hoja aliyoidandia haina ukweli?
Kwamba ana chuki binafsi?

Basi tuseme wewe umesema kweli, tukimwacha yeye sasa, je hoja zake alizoongea mbona hazijibiwi na Serikali inayotuhumiwa kwa mauaji na utekaji kutoka vyanzo mbali mbali?
 
Zilizopo ni Bendera za CHADEMA tu ila CHADEMA yenyewe haipo. CHADEMA imeondoka na Mbowe. No more!!!
Sasa kama ndivyo, kwa nini mnabambikia watu kesi, kwa nini hamtaki kufanya reforms, ili mshinde vizuri na ulimwengu ushangae
 
Kila mtu huwa anapenda aongoze watu wanaomkubali, hata kama hatuna cha kumfanya ila anaumia sana kuongoza watu wasiomkubali sema tu hana cha kufanya.
CCM haikubaliki kwa watz kwa miaka mingi na si kwa samia tu na wao wanajua lakini hilo halijawazuia kufanya wanavyo taka.
 
Gwajima ni mtumishi wa Mungu amekemea watu wasitekwe, hapo kakosea nini? Kwahiyo Mtumishi wa Mungu asikemee maovu kisa kuogopa serikali?
Mbona hakukemea uovu wa wizi wa kula uliompa ubunge?
 
Hata nchi nzima tukigoma kupiga kura hiyo October. Tulia yajayo ni magumu ila inawezekana.
Kitu kama hicho hakiwezi kutokea hakuna kiongozi anaye weza kuchukiwa na raia wake wote hata kama ni mbovu kiasi gani.
Hata Samia pamoja na mapungufu yake bado kuna mamilioni ya watz wanamkubali usidanganywe na upepo wa mitandaoni.
 

Naomba nikuulize swali: Hivi Muammar Ghadafi yuko wapi siku hizi?


Nakushauri ukasome Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, Ibara ya 8 (1) (a) & (c).

Kumbuka: Uzoefu kutoka duniani kote kabisa unaonyesha kwamba Umma kamwe haujawahi kushindwa jambo lolote lile pale Umma huo unapoamua kwa dhati kabisa ya mioyo yao kutekeleza jambo hilo
 

..Maaskofu wamekuwa wapole kupita kiasi.

..Walipaswa kuunga mkono NRNE kwa nguvu zote.
 
Mnao tegea kuamua kwa dhati si ndo nyinyi ambao mkiitwa mitaani kuandamana kudai haki zenu mnajificha hamtokei?
 
Gadafi alifanyiwa figiso na USA kama walivyo fanya kwa SADAM, unafurahia show za mabeberu??
 
Hakuna chochote mtajacho kifanya rais katiba imempa nguvu sana.
Hakuna Katiba yenye nguvu kama wananchi wakiamua, Muulize Gadafi , Misri
 

Attachments

  • image.jpg
    126.2 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…