Rais Samia Kashaingia kwenye 18 za Mfumo wa Udini. Hachomoki

Wadhani hilo ndiyo jibu kwa Serikali inayofuata misingi ya sheria na utawala bora?

Kwamba wanaodai kufanyiwa nao walifanya?

Vyombo vya kiuchunguzi na vyombo vya kisheria vipo likizo mapumzikoni na kuacha raia wajifanyie umafia wanavyotaka?

Hauoni kwamba bila kuchukua hatua za kisheria kwa Serikali iliyopo madarakani iliyoapa kulinda Katiba ambayo ndiyo msingi wa sheria, imekiuka viapo vyao na hawafai kuendelea kututawala?

Nawe kama unashadadia mambo ya uvunjwaji wa haki za watu bila wahalifu kuchukuliwa hatua za kisheria, utakuwa ni mtu unayependa visasi na haufai.
 
Hakuna cha mtego hapo wala nini.
Ni wivu tu kwa wakristo kuona nchi inaongozwa na Muislam na mambo yanaenda vema tu.
 
Ufufuo na uzima imesajiliwa kama taasisi ikiwa na waumini zaidi ya elf 20 na makanisa elf 2 nchi nzima na nje ya nchi.
Unawanyima vipi watu haki ya kuabudu hii ni kinyume na katiba.
Pambana hoja na mtu mmoja na sio taasisi.
Kushindwa kujibu hoja zake kuna husiana vipi na kuifungia taasisi.
 
Hiyo nguvu ya uma itaonekanaje wakati mkiitwa mitaani kuandamana ili muoneshe hiyo nguvu unakujia mikia matakoni?
Kila kitu kina threshold mzee, Wewe ulitegemea Hii Push ya Mitandaoni?
Ulitegemea Msigwa azomewe na Wanafunzi Udom, Ngoma Ikivuma sana Itapasuka mzee
 
Kama raia tujifunze sasa kuwa vetting ya kiongozi ni muhimu. Kesho mtakuja kutuwekea akina Jokate Kidoti kwenye uraisi wakati ni watu tulikuwa nao FIESTA wakapanda stejini, wakiwa wamevaa vimini, wakanengua na picha tunazo.

Mtakuja tuwekea watu wanalala na wake za watu,walevi, hawalipi kodi, biashara za magumashi ndizo wanafanya.

Ona sasa huyu sijui walitumia sifa gani kumpa umakamo wa raisi. Leo kwa bahati mbaya amekuwa raisi ona vituko na uhovyo anaofanya.
 
Ukimya wa Waislam wengi unaonyesha kuunga mkono udhalimu wa rais ambaye pia ni muisam mwenzao. Ni wakati Sasa wa kulianzisha dhidi ya Waislam. Kanisa limefungwa bila kufuata Sheria.
Silka ya waislamu usimama na muislam hata kama ni muovu maadamu tu awe ni muislam Uovu wake sio shida kwao.
 
Never my friend
 
Haijasajiliwa, Gwaji boy ni lunatic, mpinga uislam
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna chochote mtajacho kifanya rais katiba imempa nguvu sana.

Unajua nani aliyesema katiba ni vikaratasi havina mpango?

Justice is a sword with double edges. Ukiidharau katiba upande huu....itakuwa maajabu upande ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…