Kamwe hamtowaweza waislam.Ukimya wa Waislam wengi unaonyesha kuunga mkono udhalimu wa rais ambaye pia ni muisam mwenzao. Ni wakati Sasa wa kulianzisha dhidi ya Waislam. Kanisa limefungwa bila kufuata Sheria.
Kwann sasa na sio mwanzoniHuna hoja zaidi ya chuki yako kwa Rais, kisa ni mwislam.
Nakushauri kacheze unako chezaga.
Hichi unacho kisema sidhani kama hata kinafika %10 wa tulicho shuhudia 2015.Kila kitu kina threshold mzee, Wewe ulitegemea Hii Push ya Mitandaoni?
Ulitegemea Msigwa azomewe na Wanafunzi Udom, Ngoma Ikivuma sana Itapasuka mzee
Huwezi kupata kiongozi bora kutoka katikati ta jamii yenye mambo ya hovyo kama waafirika.Kama raia tujifunze sasa kuwa vetting ya kiongozi ni muhimu. Kesho mtakuja kutuwekea akina Jokate Kidoti kwenye uraisi wakati ni watu tulikuwa nao FIESTA wakapanda stejini, wakiwa wamevaa vimini, wakanengua na picha tunazo.
Mtakuja tuwekea watu wanalala na wake za watu,walevi, hawalipi kodi, biashara za magumashi ndizo wanafanya.
Ona sasa huyu sijui walitumia sifa gani kumpa umakamo wa raisi. Leo kwa bahati mbaya amekuwa raisi ona vituko na uhovyo anaofanya.
Gwajima kaingizaje Udini ilihali alikuwa akitetea waliopotea na mpaka majina yao na wengineo sio wa dini yake?Hili amelianzisha Gwajima kwa makusudi.
Sijaona sehemu Rais Samia ameingia huo mtego wenu wa kitoto.
Mi simchagulii akemee nini ila nampongeza kwa utekaji aliokemeaMbona hakukemea uovu wa wizi wa kula uliompa ubunge?