Katiba ya warioba ilikuwa miaka kumi iliyopita,
Unadhani watu walioongezeka hawastahili kutoa maoni yao? Watoto wenye miaka 8 kipindi hicho now wana 18, huoni kama ni muda mrefu sana?
Mkinipapasa nami ntawapapasa na mkiniparura nami ntawaparuraDelaying tactics, labda Mama anataka kupora Uchaguzi ujao.
Hamieni Burundi[emoji1787]Kumbe Samia ndie alikuwa mwenyekiti wakati ule?
Hapa ndipo utakapoiona nia yake ovu dhidi ya watanganyika na pesa zetu walipakodi, anazichezea tu.
Huyu mtu tangu alivyoanza kuwafukuza uwaziri wakina Lukuvi na Kabudi, tayari alikuwa anajitengenezea mazingira ya 2025, akawasogeza awapendao karibu yake zaidi kina Nape, yale yalikuwa maandalizi...
Hata hili la kutufundisha Katiba iliyopo ni mbinu yake ya kutuchelewesha ili ahakikishe tunaenda uchaguzi mkuu wa 2025 tukiwa na hii Katiba mbovu itakayombeba, hasa baada ya kujua hapendwi wala kuaminiwa na watanganyika kwa asilimia kubwa.
Ujumbe wangu kwa Raisi ni Samia chonde chonde usiupore uchaguzi muogope Mungu je Raisi wangu mpendwa unajua kama Maulana hapendi wanaozulumu HAKI za wenzao?Mkinipapasa nami ntawapapasa na mkiniparura nami ntawaparura
Katiba mpya ndio hiyooooo …boko la 2014 limetokea tena 2023
Tatizo la CCM wanawaza madaraka tu. Uliongea Jambo wanawaza Kama Hilo Jambo litawatoa madarakani.Hata katiba idondoke kutoka mbinguni kama ccm wakigoma kuachia madaraka hakuna chama cha upinzani kitachukua nchi
Ilibidi Rais atoe kauli Kama ya kwako kuliko kuzunguka mbuyu.Katiba siyo kipaumbele chetu kwa sasa
NonsenseDude linaloitwa katiba Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu hassan amesema kwamba watu wa nchi hii hakuna anaejuwa maana ya katiba kwa hiyo ni vizuri watu kwanza wafundishwe waelewe maana ya katiba kwani hata tuliyonayo hakuna anayeifahamu.
kuhusu katiba mpya jambo hilo litafanyika hadi pale watu watakapo kuwa wanaelewa hata hii tuliyonayo hii maana yake ni kwamba vyama vya upinzani ingawa vimeendelea kusisitiza kuwepo umhimu wa katiba mpya wajue kuwa kwa sasa hilo suala halipo.
Jambo pekee ambalo serikali inaenda kulifanya ni kuwepo kwa somo la katiba mashuleni na vyuoni pamoja na taasisi zote za dini na serikali kuelemishwa maana ya katiba kwani watanzania hawana uelewa na katiba hiyo.
Ndugu zangu vyama vya upinzani mjue kuwa tunaenda kufanya uchaguzi mkuu bila kuwepo kwa tume huru wala katiba mpya! je mko tayari kwenye mashindano? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Asante philosopher. Umeongea deep Sana.Hamna mabadliko ya sheria hadi zilizopo wananchi waache kuzivunja, mitaala ibaki ilivyo hadi pasiwepo na watoto wanaofeli, tusipitishe mabadiliko ya kodi mpaka wananchi waelewe zilizopo, na DP world wangoje wale wa Mpitimbi wasowahi kuagiza hata t-shirt wajue kuendesha bandari.
Jk.alikua na lengo zuri tu mkuu...Kipindi cha JK na Rasimu ya Warioba ilikuwa ni ufujaji tu wa pesa za Umma ! Au ??!!
Hiyo katiba ya mwaka 1977, mwananchi gani alioewa elimu?. Yani katiba Ina miaka 46 ndio Leo tuanze kupewa elimu yake ili iweje?. Tupunguze utapeli.Rais yuko sahihi. Kuna watu hawajui hata kitabu cha katiba kinafananaje. Hao wanaodai katiba mpya (CHADEMA) wanachofanya ni kuwaburuza nyumbu kwa kuwaambia katiba imeruhusu maandamano na uhuru wa kutoa maoni hata kama ni matusi. Wanachopigania ni kushika tu dola ili kujineemesha na sio kubadili katiba kwa manufaa ya kila mwananchi. CHADEMA hawana nia yoyote zaidi ya kwamba wanawaonea wivu CCM kuongoza nchi. Watu ambao ukiwauliza michango ya join the chain wanaishia kutukana hatuwezi kuwachagua kutuongoza. Chama kilichotumia bilioni 1 na nusu kununua pagale huko Mikocheni hakiwezi kushika dola kamwe. Zitto Kabwe alishauri wapinzani wenzake wapiganie tume huru kwanza ila nyumbu kwa ujuaji wao wakataka katiba. CCM nayo pia inataka katiba mpya ila hadi wananchi wapate elimu kwanza.
Naona Jaji Warioba na Tume Zote zilizopita hawa kuwa waelewa kama Dr WA Sasa , ambaye ameona ili tupate katiba Bora Kwanza wananchi wapate digirii ya "katiba"Na ndio maana wanawaona watu ni wajinga sio! Hayo ni mawazo yake! Katiba tunaifahamu vizuri sana na haitufai kwa wkt wa Sasa. Kama tusingekuwa tunaielewa tusingetoa maoni ya katiba mpya kwenye time ya Jaji Warioba. Period!
Alichoongea yupo sahihi sana ila watz sisi ni wajuaji na wakosoaji wazuri ndio maana anaonekana kaongea vibaya kazungumza vzr sana[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2745967
Elimu gani?. Huyo Rais alikuwa makamu mwenyekiti kwenye bunge la katiba, Leo ndio anadai watu wapewe elimu. Acheni utapeli.Subirini wananchi wapate elimu kwa miaka mitatu. Katiba sio ya vyama ni ya wananchi.
Wewe unajua au unaielewa kwahiyo hawa wengine wasio ijua unawaweka wapi?Hiyo katiba ya mwaka 1977, mwananchi gani alioewa elimu?. Yani katiba Ina miaka 46 ndio Leo tuanze kupewa elimu yake ili iweje?. Tupunguze utapeli.
Unajuaje kama hakutoa ilo wazo wengi mnataka katiba mpya kwa masilahi yenu peke yenu na sio nchi kama taifaElimu gani?. Huyo Rais alikuwa makamu mwenyekiti kwenye bunge la katiba, Leo ndio anadai watu wapewe elimu. Acheni utapeli.