Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Hilo siyo suala la kidini, mke wa mtu kunyweshana mvinyo na mwanaume mwingine ni haramu hata kwa dini nyingine na kwa mumewe.
Haikuwa juice ulikuwa mvinyo usilegeze sauti hapa.
 
faida za rais mwanadada, watanzania hamjazoea !! wenzetu nchi za waliostaabika toka karne ya 18 haya ni mambo ya kawaida sana... juice tu je ingekuwa kufungua mziki kwa kushikana zero distance. Hebu acheni usukuma mnatuangusha watanzania wenzenu.
 
Hii sentensi ya mwisho inaashiria ushoga.
Mkiishiwa hoja na kubanwa mbavu mnaanza matusi, Watu Kama nyie wapotoshaji na wakurupukaji hamuwezi mkaachwa muendelee kupotosha humu, lazima muumbuliwe uongo wenu ili mjuwe siyo wote wajinga humu
 
faida za rais mwanadada, watanzania hamjazoea !! wenzetu nchi za waliostaabika toka karne ya 18 haya ni mambo ya kawaida sana... juice tu je ingekuwa kufungua mziki kwa kushikana zero distance. Hebu acheni usukuma mnatuangusha watanzania wenzenu.
Nimeiangalia vizuri hiyo clip inaeonekana kama alibadilishiwa glass ndio akaiweka mdomoni na kunywa juice , sio ile glass aliyomnywesha nayo Nyusi !! Na alimnywesha juice Rais Nyusi kwa kuwa hakutaka kutakiana cheers kwa glass ya juice na glass ya whiskey maana yeye ni muislamu angegongesha glass ingeleta impression mbaya kwa waislamu wengi duniani ambao wangeiona hiyo clip !!
 
Hilo nimewajibu na kuwaeleza watu hapo juu kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani alibadilishiwa glasi na msaidizi wake hatua chache hapo alipoelekea, Hata namna mh Rais wetu anavyoipokea hiyo glasi mpya inaonekana wazi japo kwa mwenye kukurupuka na mihemuko hawezi kuona tukio hilo
 
Wewe uliona wapi sisi tuliooa tunalalamika humu jf? Hayo mambo ya ndani, humu ni jf members ndo tunalalamika.
Mambo ya Ngoswe mwachieni Ngoswe, kwani hivi ilishatokea Ngoswe ameingilia mate yenu?
 
Kabadilishiwa glasi wapi wakati kaenda kugonga cheers akarudi.

Unadhani kidiplomasia ingemkalia sawa yaani ampe rais wa Msumbiji kinywaji halafu yeye akibadilishe hicho kinywaji?, si wangesema alikuwa na nia mbaya na rais wa Msumbiji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…