Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Lazima atumie, kwanini amnyweshe mwenyeji wake halfu asitumie?. Huko ndio tunaita ukosefu wa hekima. Kama alikuwa hataki kinywaji angebeba maji yake baadala ya kujichoresha na kuanza kunywesha watu juisi bila kuombwa. Rais wa msumbiji ameshtuka Sana.
Huwezi ukaelewa maana bado hujakuwa na kuelewa haya Mambo na ndio maana ulishindwa hata kuona tukio la kubadilisha kwa glasi mpaka nilipokwambia ukatazame upya, naona umeanza kuhamisha magoli, Tulia ujifunzage mengi kutoka kwetu
 
Ngoja nirudie kutazama pic.
 
Wewe ni kawaida yako kutetea vitu vilivyopo wazi. Hakuna anaye kushangaa. Eti alibadilishiwa glass, kwani nani alimtuma akamnyweshe mwenzake. Kimbelembele na ukosefu wa maadili.
Bado upo bado kujuwa mambo Kama hayo au umeanza kufuatilia mambo ya kisiasa saiz
 

Jiheshimu . Usianze kunipangia Cha kusema. Unaongea kana kwamba mimi sijaiangalia video. mbona nimeiangalia.

Kwa hivyo unachosema lengo la Rais ilikuwa ni kumnywesha Rais mwenzake juisi halafu abafilishwe glass apewe kinywaji kingine. Nani kamtuma amnyweshe Rais mwenzake juisi?.
 
Nchi haina Rais,sitoshangaa kuona watu wakishushia Matusi kila wajuayo

Ki ufupi tumepigwa, Katiba ivunjwe vunjwe tuchague rais tumtakae,hii ni AIBU.
 
Bado upo bado kujuwa mambo Kama hayo au umeanza kufuatilia mambo ya kisiasa saiz

Usijione mjuaji kisa kuposti ujinha wako jamii forum kila siku. Nipo jamii forum tangu 2010. So usijione mjuaji wakati mjinga wa kawaida.

Kama siasa nimeifuatilia Sana . Nimekuwa mhamasishaji wa chama tangu 2005. So tuheshimiane ongelea mada na sio experience za watu. Jiheshimu
 
Mbona hakuna tatizo?

Tunatafuta wawekezaji lazima tuwabembeleze
 
This is bad, I repeat, THIS IS WORSE.

Kuna kitu hakiko sawa mahali, kuna kitu kiko VERY WRONG..

Hii ni mistake atakayoijutia maisha yake yote.
Do not take light things seriously like that.

Mama is good at socialization.
 
Mwache mama apige kazi ACHA nongwa wewe SI Kila kitu mnakosoa
 

Ngoja kesho msumbiji watangaze Rais wao ana Corona ndio atajua hajui.
 
Safi sana, katumia akili kubwa sana ki proptocal...

Kungekua na chochote kibaya kwenye hicho kinywaji huyo mwenzake angehepa kunywa nae asingekunywa...

Mbona hiyo protokali hakuifanya UK au kwa Kagame. Ambaye aliamua kumficha kwenye gari wakabaki wawili tu. Tukubali ni over excitement ya mama kwenye sherehe.
 
Huyu Lucas mwashambwa siku hizi wala simjibu maana ana utoto mwingi na kujipendekeza
 
Rais amebadilishiwa na huyo msaidizi wake hapo hatua chache alipopokea glasi nyingine au wewe unazani kuwa Rais anakuwa na msaidizi mmoja tu? Shida yenu mmezoea upotoshaji wenu lakini mkiumbuliwa mnaanza matusi na kutafuta vichaka vya kujificha

Amebadilishiwa wapi?. Au una version yako nyingine. Rais Katoa boko leo, na Kama ni procoal basi wangekubali kupiga cheers tu. Inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…