mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Mmmh!!Kwa hivyo alifanya kwa sababu za kidini?. Sasa mbona anamnywesha mme wa mtu juisi kitu ambacho dini hairuhusu. Huo ni unafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh!!Kwa hivyo alifanya kwa sababu za kidini?. Sasa mbona anamnywesha mme wa mtu juisi kitu ambacho dini hairuhusu. Huo ni unafiki.
Acha uchawa wa kijinga! Samia ametutia aibu iwe alipewa glasi nyingine au la!Wewe uwe unatulia usiwe Kama Bavicha , mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na msaidizi wake aliyekuwa hapo mbele hatua chache, Hivyo siyo kweli kuwa alitumia glasi aliyotumia mwenyeji wake, Angalia hata namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea kwa uharaka na kuinywa Ile aliyopewa na msaidizi wake, muwe mnachangia baada ya kuwa na uhakika wa kile mnachokiona siyo unasoma maoni ya watu na wewe unachangia bila kuelewa kitu
Petere wa Royal Tour Mkuu, tafadhari sheikh unatuangusha!!Piere ndio nan mkuu, nifungue code hyo hata kwa dm aisee.
Kweli mkuu hapo nimemuelewa sana mama, nakumbuka enz zile wazee wetu walikuwa wakienda kunywa pombe za kienyeji aka manguree wanakaa viduara alafu wanashare kile kideko almaarufu album, ila kabla ya wao kuanza kunywa kwa mzunguko sharti la kwanza yule muuza manguree lazima yeye aonje kwanza.Mama master, kakataa kinywaji cha nyusi kijanjanja na kimedani, nimemuelewa mama
Wewe ndio huelewi kitu Bali unafuata mkumbo tu wa wapotoshaji wenginewewe ni chawa wa kutupa, hata hujielewi unaadika nini
Hapo ni president, sio mke wa mtu acheni masuala ya utawala dumeHuyo ni mke wa mtu!
Eee bhana eeee !!! Watu mbona mnafunguka sana jamani ? Khaaaa !!!Kwa mliomfahamu Samia baada ya kumwona na ushungi ndio mnashangaa!! Enzi za samia havai ushungi akiwa kwenye NGOs zake huko tunamjua Samia si mtu wa maadili ya kiafrika, huyu mama ana uzungu mwingi uliopitiliza... hata huo mtandio anaovaa no baada ya wazee kumsihi sana avae ili apate kura za jimboni huko Zanzibar.
Zakhia Meghji hamfikii Samia Suluhu Hassan kwa uzungu.
Kumbe naye anashitua vant🤣
Umeandika upuuzi gani huu!? Ulikuwepo pindi hiyo glass ikibadilishwa na kupewa nyingine..Pia lazima watu mnaochangia hapa muelewe kuwa baada ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kumnywesha mwenyeji wake hakutumia hiyo glasi kunywa Tena Bali alipewa nyingine hapo mbele alipoelekea ,Angalia vizuri mkono wa mh Rais wetu aliyeiva na kuvivaa viatu vya Urais kisawasawa akipokea Glasi nyingine kutoka kwa wasaidizi wake ambao tumewapa dhamana ya kuhakikisha mh Rais wetu mpendwa anakuwa salama popote Alipo huku akilindwa na Mkono wa Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema,
Kazi iendeleee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka
[emoji38][emoji38][emoji38] pole mkuuNaandika ukweli na kupinga upotoshaji wenu hapa bila Shaka mlitaka muungwe mkono kwa upotoshaji wenu mkizani wote tuna upeo finyu Kama wenu
Sasa kumbe huna hata uhakika na huelewi kitu halafu unaleta ujuaji wako hapa, Tulia uelimishwe na kufundishwa siyo unakimbilia kuandikaa tu hapa kwa kufuata mkumboAcha uchawa wa kijinga! Samia ametutia aibu iwe alipewa glasi nyingine au la!
Na hili ndo jibu..uzi ufutwe..Nimeiangalia vizuri hiyo clip inaeonekana kama alibadilishiwa glass ndio akaiweka mdomoni na kunywa juice , sio ile glass aliyomnywesha nayo Nyusi !! Na alimnywesha juice Rais Nyusi kwa kuwa hakutaka kutakiana cheers kwa glass ya juice na glass ya whiskey maana yeye ni muislamu angegongesha glass ingeleta impression mbaya kwa waislamu wengi duniani ambao wangeiona hiyo clip !!
Bila Shaka wewe Ni Ni mgeni katika siasa na umeanza majuzi kufuatilia siasaHakuna jambo jipya hapo zaidi ya mapenzi ya Rais Samia kwa Filipe Nyusi..