Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Wewe uwe unatulia usiwe Kama Bavicha , mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na msaidizi wake aliyekuwa hapo mbele hatua chache, Hivyo siyo kweli kuwa alitumia glasi aliyotumia mwenyeji wake, Angalia hata namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea kwa uharaka na kuinywa Ile aliyopewa na msaidizi wake, muwe mnachangia baada ya kuwa na uhakika wa kile mnachokiona siyo unasoma maoni ya watu na wewe unachangia bila kuelewa kitu
I
Tatizo lako kila kitu unajadili kichama. Bavicha wametokea wapi hapa?. Hili suala linamhusu Rais wa Tanzania , mambo ya uvvcm na bavicha hayahusiki hapa. Nyie ndio wale kipindi Magufuli anaumwa mkawa mnawatukana waliokuwa wanadai Rais Ni mgonjwa. Mwisho wa siku akafa na ikadhibitika alikuwa mgonjwa.

Ushauri wangu kwako usiendekeze uchama wa kuiga kwa Mambo yenye sura ya kitaifa.
 
Na utasema pia kitanda alibadilishiwa na msaidizi wake, huku kamera inaonesha aliingia bedroom ya ugenini na kulala humo kisha wakazima taa na camera.

Una akili timamu wewe?

Ziheshimu camera ndugu rais wetu hayupo sawa.
 
Nimeiangalia vizuri hiyo clip inaeonekana kama alibadilishiwa glass ndio akaiweka mdomoni na kunywa juice , sio ile glass aliyomnywesha nayo Nyusi !! Na alimnywesha juice Rais Nyusi kwa kuwa hakutaka kutakiana cheers kwa glass ya juice na glass ya whiskey maana yeye ni muislamu angegongesha glass ingeleta impression mbaya kwa waislamu wengi duniani ambao wangeiona hiyo clip !!

Kwa hivyo alifanya kwa sababu za kidini?. Sasa mbona anamnywesha mme wa mtu juisi kitu ambacho dini hairuhusu. Huo ni unafiki.
 
I
Tatizo lako kila kitu unajadili kichama. Bavicha wametokea wapi hapa?. Hili suala linamhusu Rais wa Tanzania , mambo ya uvvcm na bavicha hayahusiki hapa. Nyie ndio wale kipindi Magufuli anaumwa mkawa mnawatukana waliokuwa wanadai Rais Ni mgonjwa. Mwisho wa siku akafa na ikadhibitika alikuwa mgonjwa.

Ushauri wangu kwako usiendekeze uchama wa kuiga kwa Mambo yenye sura ya kitaifa.
Nimeyasema hayo maana walikuwa wanapotosha na kusema uongo kuwa mh Rais wetu mpendwa alitumia glasi aliyotumia mwenyeji wake, ndio nikaeleza vizuri kabisa kuwa mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na kuipokea kikomandoo ambapo usipo kuwa makini hata wewe unaweza usione
 
Bila Shaka unamatatizo kichwani maana mwenye Akili Timamu hawezi akaandika hayo uliyoandika hata Kama amekosa malezi ya wazazi wake
Na utasema pia kitanda alibadilishiwa na msaidizi wake, huku kamera inaonesha aliingia bedroom ya ugenini na kulala humo kisha wakazima taa na camera.

Una akili timamu wewe?

Ziheshimu camera ndugu rais wetu hayupo sawa.
 
Nimeyasema hayo maana walikuwa wanapotosha na kusema uongo kuwa mh Rais wetu mpendwa alitumia glasi aliyotumia mwenyeji wake, ndio nikaeleza vizuri kabisa kuwa mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na kuipokea kikomandoo ambapo usipo kuwa makini hata wewe unaweza usione
Hakuna glass iliyobadilishwa, hata hivyo hakuna tatizo pia. Watu wanaopinga ni kama hawana akili tu
 
Bavicha gani alisema hivyo?. Ni lini BAVICHA walitoa statement kuhusu kunyweshana juisi Kati ya Rais Samiah na RAIS Nyusi?. Usitumie jina la taasisi ya chama kwenye Mambo ambayo haijahusika. Ni ushauri tu.
 
Hakuna glass iliyobadilishwa, hata hivyo hakuna tatizo pia. Watu wanaopinga ni kama hawana akili tu
Glasi ilibadilishwa , Narudia tena kusema kuwa glasi ilibadilishwa,huwezi ukaona Kama hujaangalia kwa makini na kwa kutulia na kwa macho ya kijasusi, hata namna mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani alivyoipokea kikomandoo inaonekana kabisa ila Kama unaharaka huwezi kuona nachokueleza hapa,
 
Nimeyasema hayo maana walikuwa wanapotosha na kusema uongo kuwa mh Rais wetu mpendwa alitumia glasi aliyotumia mwenyeji wake, ndio nikaeleza vizuri kabisa kuwa mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na kuipokea kikomandoo ambapo usipo kuwa makini hata wewe unaweza usione
Vaa miwani kisha itazame tena hiyo clip ndipo ukomae kumtetea mama yako, naona upo na shida ya kuona bwashee
 
Mimi nimeiangalia vizuri tu na Wala haikunipa shida yoyote Ile kujuwa na kuona kuwa glasi ilibadilishwa na hata namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea inaonekana vyema japo kwa mtu asiye na utulivu wa kichwa hawezi kutambua na kuona tukio hilo maana limekwenda kikomandoo zaidi
 
Usijione mjuaji kisa kuposti ujinha wako jamii forum kila siku. Nipo jamii forum tangu 2010. So usijione mjuaji wakati mjinga wa kawaida.

Kama siasa nimeifuatilia Sana . Nimekuwa mhamasishaji wa chama tangu 2005. So tuheshimiane ongelea mada na sio experience za watu. Jiheshimu
Mimi siku zote Naheshimu michango na mitazamo yako hata Kama tunatofautiana maana najuwa Ni katika tofauti zetu ndioo tunaposhamirisha na kunawilisha demokrasia yetu na kuifanya kuwa Chachu katika kuchagiza maendeleo ya Taifa letu, Huna sababu ya kuwa na Hasira Wala jazba maana Hakuna nilipokutukana maana Namheshimu kila mtu humu
 
Nani anapotisha wakati video ipo wazi na mama yako kaenda kumseduce mme wa mtu.
unaona Sasa mawazo yako yalivyokuwa yakitoto hata Kama unasema nakudharau? Si unaona ulivyokosa busara na hekima hata Kama wewe Ni mtu mzima? Si unaona maandishi yako yanavyoonyesha kuwa wewe bado mchanga kifikra hata Kama Ni mkubwa kiumri? Si unaona ambavyo mawazo yako yanavyoonyesha kuwa watakao kutukana au kukudharau watakuwa hawajakosea kwa kuwa ndio stahiki yako? Si unaona kuwa inaonyesha kuwa uwezo wako wa kuelewa mambo ya kidiplomasia bado ni mdogo Sana? Si unaona kuwa inaonyesha bado wewe Ni mchanga kifikra na kwamba inatakiwa kuongozwa muda wote?
 
Back
Top Bottom