econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
IWewe uwe unatulia usiwe Kama Bavicha , mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na msaidizi wake aliyekuwa hapo mbele hatua chache, Hivyo siyo kweli kuwa alitumia glasi aliyotumia mwenyeji wake, Angalia hata namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea kwa uharaka na kuinywa Ile aliyopewa na msaidizi wake, muwe mnachangia baada ya kuwa na uhakika wa kile mnachokiona siyo unasoma maoni ya watu na wewe unachangia bila kuelewa kitu
Tatizo lako kila kitu unajadili kichama. Bavicha wametokea wapi hapa?. Hili suala linamhusu Rais wa Tanzania , mambo ya uvvcm na bavicha hayahusiki hapa. Nyie ndio wale kipindi Magufuli anaumwa mkawa mnawatukana waliokuwa wanadai Rais Ni mgonjwa. Mwisho wa siku akafa na ikadhibitika alikuwa mgonjwa.
Ushauri wangu kwako usiendekeze uchama wa kuiga kwa Mambo yenye sura ya kitaifa.