Rais Samia kayataka mwenyewe, alikuwa ameanza vizuri tu

Yule Mama ana dharau sana na kiburi juu,mchunguzeni vizuri!
 
Comment ya mwaka hii kwangu ,hongera kwa kuona mbali. Labdac kwa kuongezea tu hayo meridhiano ni upambe tu wa kuonyesha jpm aliendesha nchi vibaya na kwa sasa samia ni mzuri kuliko mtangulizi wake ,
 
Bandari imeleta mtafaruku mkubwa sana
 
Nioneshe kauli zao kuhusu Bandari nami nikuoneshe matusi yao.
Angalia sababu za maombi yoo ya kikatiba kupinga mkataba waliyowasilisha mahakamani unionyeshe tusi.

Suala la Bandari ni sera ya chama CCM,chama kilicho madarakani hakiwezi kusikiliza kelele za wapinzani dhidi ya sera yake.
Ukiwa na Akili nzuri ni lazima utajua hivyo !!

Sasa wale wanaoona eti mama yupo kwenye wakati mgumu naona kama wamekosea mahesabu !!
 
Ukiwa na Akili nzuri ni lazima utajua hivyo !!

Sasa wale wanaoona eti mama yupo kwenye wakati mgumu naona kama wamekosea mahesabu !!
Nyie mnaoona yuko kwenye wakati mzuri endeleeni kumpotosha hadi atakaposhtuka mwenyewe, Magu alichelewa kuliona hilo kwa upambe wenu mkamponza.
 
Unadhani huyu mama hajui analolifanya. Ukimsikiliza kwa makini rais mstaafu Jakaya utagundua mama huyu ni stadi sana wa kucheza rafu.
 
Samia anaajenda ya siri dhidi ya waarabu hajafanya kwa bahati mbaya
 
Nyie mnaoona yuko kwenye wakati mzuri endeleeni kumpotosha hadi atakaposhtuka mwenyewe, Magu alichelewa kuliona hilo kwa upambe wenu mkamponza.
Collective responsibility ndivyo ilivyo !
Haamui jambo peke yake !!
 
Collective responsibility ndivyo ilivyo !
Haamui jambo peke yake !!
Rais ni final say, Collective Responsibility iko kwa wasaidizi wake mawaziri, RCs nk. ndio maana hata sheria ikitungwa bungeni hupelekewa yeye ana uwezo wa kuipitisha au kuikataa. Hata mkataba anaweza kuukubali au kuukataa.
 
Wewe ni sifuri, watu wanapinga mkataba wa Kimangungo wewe unaunga mkono? Chief Mangungo alikuwa hajui kusoma miaka hiyo ya 1877 akabambikiwa mkataba kwa malipo ya shanga, Sasa Hawa wanajua kusoma na elimu kubwa wamesaini mkataba wa Kimangungo watu wasiseme?
 
Rais ni final say, Collective Responsibility iko kwa wasaidizi wake mawaziri, RCs nk. ndio maana hata sheria ikitungwa bungeni hupelekewa yeye ana uwezo wa kuipitisha au kuikataa. Hata mkataba anaweza kuukubali au kuukataa.
Na mara zote ataliafiki lile lililokubaliwa na wengi tu na si vinginevyo !!
 
Mama hawezi dhulumu nafsi ya mtu, ni Muislam safi.
 
Kicha mada kinavutia kweli ila sasa ndugu ulicho weka kwenye content kimekua cha ajabu. Sio vibaya ukiandika upya na kuweka mizania sawa
 
Attachments

  • 3E34DBDB-CC68-4AF3-B001-C0BE9C82F9D9.jpeg
    54 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…