Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

kuna haja ya israel kuingilia kati hili swala la utawala wa mwanamke
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pep mambo ni mengi,
Usije shangaa humuoni mama mtumishi kumbe amepigwa mnada kama mbolea .
Kuzuwia hilo....embu watangaze mapema nchi yenyewe ni shs ngapi niinunue
 
Tunamtia mpiga mwingi aibu

Kweli tunakosa hata kazi za palizi kwenye mashamba yetu ya mboga mboga yaliyotapakaa nchini?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kama vipi basi watupige mnada huko mbogamboga tukawe mbolea tu
Hakuna namna sasa.
 
Hayo ameyasema leo huko Zanzibar.

Maoni yangu;

Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
Kwani hii kauli inashida gani hadi ionekane kuwa kejeli?

Kama kweli amesema "Ni aibu kijana kuwa huna kazi" yupo sahihi
 
Na nyinyi wenzangu mmechoka kama mimi?
 
Reactions: Pep
Bora baba uokoe jahazi
La asivyo kuna watu tunaenda kuuzwa kama mbolea nchi za njeπŸ˜‚πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ™Œ
CCM inatupeleka kasi sana,walaaniwe.
Tatizo wamepiga shuti kubwa sana hadi ukatoka nje 🀣🀣
 
Kimbembe kupata kura zao, jiwe alijua kucheza na mind zao
Na wao walikubali kwa ujinga maana huo msimamo alikuwa nao kama yeye wala haikuwa ni sera ya taifa.
 
Tatizo wamepiga shuti kubwa sana hadi ukatoka nje 🀣🀣
Kuna jamaa mchana amesema mama hapigi mwingi tena bali anakaba.
Amehamia kule nyuma kama VVD vile yaaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Pep
ni kosa tena dhambi kumchukia mtu,tena ni udhaifu kama baadhi yenu mlivyofanya kwa magufuli.

mimi nachukia falsafa zake.
Sasa utachukia falsafa za Samia ukapenda za Mwendazake? Si utakuwa ni mwehu sasa.

Samia ,twende Kazi









 
Ndio asichokielewa mama kuwa kazi zipo kila mahali hata ukiamua kufukuza kunguru wasitue kwenye nguzo za umeme ni kazi ila ili kazi iwe na tija ni lazima iambatane na ujira.

Bila ujira hata walioko maofisini hizo ofisi wangezikimbia. Tunataka kufanya kazi zenye ujira wa kutosha kwani ndio msingi wa maedeleo.
 
Kuna jamaa mchana amesema mama hapigi mwingi tena bali anakaba.
Amehamia kule nyuma kama VVD vile yaaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwenye kukaba kwake sio muda atafunga own goal's'

__________________________

VVD tulimpiga kamba mbili kama amesimama πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…