Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengine hata hawasumbui bongo zao kufikiri!atajulia wapi huyu anadhani ndugai anaenda likizo moja kila mwaka kama yeye[emoji23][emoji23].
Bora baba uokoe jahaziKuzuwia hilo....embu watangaze mapema nchi yenyewe ni shs ngapi niinunue
Chuki kwa Samia zitakuuu 😂😂😂😂sasa kwa mamtiki hii huyo bibi yenu anadhani nani hana kazi!!!
labda watoto wake[emoji16][emoji23][emoji16]
kila mtu ana kazi,ila isiyo ya kuvaa tai.
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌Tunamtia mpiga mwingi aibu
Kweli tunakosa hata kazi za palizi kwenye mashamba yetu ya mboga mboga yaliyotapakaa nchini?
Kwani hii kauli inashida gani hadi ionekane kuwa kejeli?Hayo ameyasema leo huko Zanzibar.
Maoni yangu;
Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
Nitakuletea uyale na michembe.Kwa akili hizo we endelea kujaza choo Cha baba hapo ukisubiria ajira za serikali.
Tatizo wamepiga shuti kubwa sana hadi ukatoka nje 🤣🤣Bora baba uokoe jahazi
La asivyo kuna watu tunaenda kuuzwa kama mbolea nchi za nje😂🙌😂🙌
CCM inatupeleka kasi sana,walaaniwe.
Na wao walikubali kwa ujinga maana huo msimamo alikuwa nao kama yeye wala haikuwa ni sera ya taifa.Kimbembe kupata kura zao, jiwe alijua kucheza na mind zao
Si bora huyu lile dikteta unalikumbuka lilivyokuwa linakunya!!?Hivi wakati anaongea huwa anajielewa kweli
Kuna jamaa mchana amesema mama hapigi mwingi tena bali anakaba.Tatizo wamepiga shuti kubwa sana hadi ukatoka nje 🤣🤣
Hahahaa hapanaUmefura
Chuki kwa Samia zitakuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa utachukia falsafa za Samia ukapenda za Mwendazake? Si utakuwa ni mwehu sasa.ni kosa tena dhambi kumchukia mtu,tena ni udhaifu kama baadhi yenu mlivyofanya kwa magufuli.
mimi nachukia falsafa zake.
Ndio asichokielewa mama kuwa kazi zipo kila mahali hata ukiamua kufukuza kunguru wasitue kwenye nguzo za umeme ni kazi ila ili kazi iwe na tija ni lazima iambatane na ujira.Naam ni kweli kabisa ni aibu kwa Taifa lenye Resources za kutosha kushindwa kutengeneza employment / Mambo ya kufanya ili watu wajipatie kipato cha kutosha kuendesha maisha yao....
Hapa issue sio kazi tu bali kazi yenye ujira wa kutosha..
Kwahio aibu sio kwa wakosa kazi bali waliopewa kazi ya kutengeneza Sera za kuhakikisha hakuna wakosa Ajira
Kwenye kukaba kwake sio muda atafunga own goal's'Kuna jamaa mchana amesema mama hapigi mwingi tena bali anakaba.
Amehamia kule nyuma kama VVD vile yaani😂😂😂😂
We jamaa una matatizo sana, unajua taratibu za kuupata huo mkopo na ni muda gani unachukua mpaka kuupata?Ndio inavyotakiwa ,Safi Sana kwa kuwaeleza .Kuna mamikopo yasiyo na Riba inatolewa na Halmashauri lakini Kazi yao kuchat kulalamika sasa sijui wanategwmea nini