Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah! Jamaa ana kipaji cha kuzaliwa nacho cha uchekeshaji.Chalamila aliwahi kufikiri amekufa 🤣🤣
😄😄😄😄😄😄😄 Nawacheki tu nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHahahahahahahahahah hawa ndio wale motivesheno speaker humu!
Anajisifia na kilimo cha mboga mboga huku anatembeza bahasha.
Yy akijiuzuru kaz atapata sio kama cc.Ajiuzulu urais aje tutafute nae kazi aone kama zipo kweli.
Wafanye hivyo, ili haya mambo yaishe! [emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]dah mkuu umeua!!
Kikubwa....I wil make you happy, and to the 'moon'Hahah! Jamaa ana kipaji cha kuzaliwa nacho cha uchekeshaji.
Eti akamuuliza mkewe "Au na mimi nimekufa ila hutaki kuniambia?"
..........
Hivi na wewe utakuwa unaniuliza maswali kama ya Chalamila??
Mkuu na wewe umedakia comment hewani bila kujua aliyemquote alikuwa anataniana na mimi na kuhusu kilimo cha mbogamboga ana maana yake anayoimaanisha tofauti na hiyo yenu mliyomuelewa.Hahahahahahahahahah hawa ndio wale motivesheno speaker humu!
Anajisifia na kilimo cha mboga mboga huku anatembeza bahasha.
Sasa wawe wanachagua maneno ya kuwaongelea watu masikini tusiyo na uwezo wa kuwapatia ajira serikaliniAnaongea tu kweli aliyeshiba amkumbuki mwenye njaa
Fursa zilizopo labda ukaibe tu uchomwe moto na shida zako zitaishia hapoMwaka huu tutasikia na kuona mengi,ngoja nivute kiti kabisaa.
Kwamba fursa zipooo
Sawasawa banaMkuu na wewe umedakia comment hewani bila kujua aliyemquote alikuwa anataniana na mimi na kuhusu kilimo cha mbogamboga ana maana yake anayoimaanisha tofauti na hiyo yenu mliyomuelewa.
Sasa utachukia falsafa za Samia ukapenda za Mwendazake? Si utakuwa ni mwehu sasa.
Samia ,twende Kazi
View attachment 2072349
View attachment 2072350
View attachment 2072351
View attachment 2072352
View attachment 2072353
Anne loves you much❤.Kikubwa....I wil make you happy, and to the 'moon'
Hilo ndo muhimu 😉
Kwa kiasi hiki👇yote haya na bado kuna tozo,uchumi umekua kwa kiasi gani!!!!
Utaendesha maisha kwa kibarua cha msimu?Ukishazibua mitaro lazima ulipwe kamanda
Utalipwa na hao hao waliyokutafuta
Ova
Inabidi aonyeshe mfano hai.Sasa wawe wanachagua maneno ya kuwaongelea watu masikini tusiyo na uwezo wa kuwapatia ajira serikalini
Mitaala yetu ya Elimu haitoi fursa kabisa ya kutufundisha Watanzania kuziona na kuzichangamkia fursa, hilo liko wazi. Tunaomna Mheshimiwa Rais, kwavile anaziona fursa hizo, basi atutajie tu ziko wapi na ni namna gani tunazweza kuzichangamkia.....Tutashukuru Sana, badala ya kuishia hapo alipo ishia.Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Amesisitiza, "Naombeni kaangalieni fursa za kazi. Fursa zipo nyingi na ni aibu kijana kukaa bila kazi"
Ameongeza, "Na hapa nitazungumzia changamoto inayofuata ambayo ni nyie Vijana kutokujua au kutotumia fursa zilizopo. Hamzitumii kabisa! Niwaombe sana Vijana, kuna fursa nyingi. Piteni Vyuoni mtaelekezwa jinsi ya kuziona fursa hizo"
Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Sikiliza sehemu ya hotuba yake kuhusu Vijana na Kazi:
View attachment 2072394
Choko mmoja wewe nyie ndio mlikuwa mnatupwa kwa mafurushi ununio sababu ya sifa za kijingaMwenye matatizo ni wewe au mimi? Kuna mikopo isiyo na taratibu na ambayo ukienda saizi Unapata tuu ?
Nasema hivi endelea kufuga ma jobless kwa sababu mkopo eti unataratibu.
Brainless kabisa kama sio dishi