Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Chalamila aliwahi kufikiri amekufa 🤣🤣
Hahah! Jamaa ana kipaji cha kuzaliwa nacho cha uchekeshaji.

Eti akamuuliza mkewe "Au na mimi nimekufa ila hutaki kuniambia?"
..........
Hivi na wewe utakuwa unaniuliza maswali kama ya Chalamila??
 
Amesema kazi zipo nyingi, sio ajira serikali Haina uwezo was kuajiri watu wote Ila kama ni kazi hazijawahi Isha shida kama unataka zile za kulipwa kila mwezi uzunguke kwenye kiti Hulu ukipulizwa na kiyoyozi hizo ndo ziko chache
 
Hahah! Jamaa ana kipaji cha kuzaliwa nacho cha uchekeshaji.

Eti akamuuliza mkewe "Au na mimi nimekufa ila hutaki kuniambia?"
..........
Hivi na wewe utakuwa unaniuliza maswali kama ya Chalamila??
Kikubwa....I wil make you happy, and to the 'moon'

Hilo ndo muhimu 😉
 
Hahahahahahahahahah hawa ndio wale motivesheno speaker humu!
Anajisifia na kilimo cha mboga mboga huku anatembeza bahasha.
Mkuu na wewe umedakia comment hewani bila kujua aliyemquote alikuwa anataniana na mimi na kuhusu kilimo cha mbogamboga ana maana yake anayoimaanisha tofauti na hiyo yenu mliyomuelewa.
 
Mkuu na wewe umedakia comment hewani bila kujua aliyemquote alikuwa anataniana na mimi na kuhusu kilimo cha mbogamboga ana maana yake anayoimaanisha tofauti na hiyo yenu mliyomuelewa.
Sawasawa bana
 
Kikubwa....I wil make you happy, and to the 'moon'

Hilo ndo muhimu 😉
Anne loves you much❤.

...............
Ila Chalamila alinivunja mbavu sana
😂🙌.
On serious note:Jamaa ni mtu mmoja social sana,,,nilibahatika kuonana naye na kumhudumia chakula kijijini kwetu kule,alikuja msibani kwa bibi..enzi hizo mwaka juzi akiwa mkuu wa mkoa wa Mbeya.
 
yote haya na bado kuna tozo,uchumi umekua kwa kiasi gani!!!!
Kwa kiasi hiki👇

Screenshot_20220105-210157.png
 
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"

Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Amesisitiza, "Naombeni kaangalieni fursa za kazi. Fursa zipo nyingi na ni aibu kijana kukaa bila kazi"

Ameongeza, "Na hapa nitazungumzia changamoto inayofuata ambayo ni nyie Vijana kutokujua au kutotumia fursa zilizopo. Hamzitumii kabisa! Niwaombe sana Vijana, kuna fursa nyingi. Piteni Vyuoni mtaelekezwa jinsi ya kuziona fursa hizo"

Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana

Sikiliza sehemu ya hotuba yake kuhusu Vijana na Kazi:

View attachment 2072394
Mitaala yetu ya Elimu haitoi fursa kabisa ya kutufundisha Watanzania kuziona na kuzichangamkia fursa, hilo liko wazi. Tunaomna Mheshimiwa Rais, kwavile anaziona fursa hizo, basi atutajie tu ziko wapi na ni namna gani tunazweza kuzichangamkia.....Tutashukuru Sana, badala ya kuishia hapo alipo ishia.
 
Mwenye matatizo ni wewe au mimi? Kuna mikopo isiyo na taratibu na ambayo ukienda saizi Unapata tuu ?

Nasema hivi endelea kufuga ma jobless kwa sababu mkopo eti unataratibu.
Brainless kabisa kama sio dishi
Choko mmoja wewe nyie ndio mlikuwa mnatupwa kwa mafurushi ununio sababu ya sifa za kijinga
 
Back
Top Bottom