Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
hapa tayari umeshapanic 😂😂😂Manka siyo kila mtu ni mke kama ulivyo wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa tayari umeshapanic 😂😂😂Manka siyo kila mtu ni mke kama ulivyo wewe!
Upo sahihi mkubwaWatawala wetu wapo kwa ajili yao na sio kwa ajili yetu.......
Ukifuatilia utakuta watoto wao wana ajira mzuri sana na ndugu na familia zao wamewajaza serikalini.Yaani ajira hataki kutoa halafu katubomolea vibanda vyetu kaona haitoshi anatuzihaki tena.
Ndio inavyotakiwa ,Safi Sana kwa kuwaeleza .Kuna mamikopo yasiyo na Riba inatolewa na Halmashauri lakini Kazi yao kuchat kulalamika sasa sijui wanategwmea niniRais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Wanatafuta umaarufu ambao kimsingi tayari wanao.Minadhani sio kila wakati lazima kiongozi atoe neno kwanye mahafali. Ifike basi hata viongozi wajifunze kukaa kimya baada ya salam tu.
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa kamweAna hela ndo maana anaona kazi ziko nyingi
anadharau sanaHayo ameyasema leo huko Zanzibar.
Maoni yangu;
Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
Hawana tofauti na wewe unayeshinda lumumba ukiwaramba miguu mabosi wako.Tatizo vijana wengi wameelekeza nguvu zao, muda na maarifa mitandaoni. Hawataki kujishughulisha na kazi ya mikono au akili, muda mwingi wanautumia kuwapigania na kuwatetea wanasiasa wachovu ambao wengine wanaishi Ulaya kula bure, kulala bure nk. Wanasiasa hawa hawana msaada wowote wa maana kwao na familia zao. Sana sana wanaishia kutumiwa vijibando tu mtandaoni na buku buku ya kula.
Dongo la wana Kongwa ilooHayo ameyasema leo huko Zanzibar.
Maoni yangu;
Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
Hata kuzibua mitaro nayo kaziHayo ameyasema leo huko Zanzibar.
Maoni yangu;
Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
🤣🤣🤣🤣🤣badoUshawahi kusimangwa??
Mwanawe ni mbungeMbona watoto wao wanawapatia ajira za serikalini?
Kulima ni pesaMashamba yapo huku vijijini...vijana mnawaachia wazee. Njooni mjiajiri. Mlime kisasa.
Mbona watoto wao wanawapatia ajira za serikalini?