Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Ukiwa kwenye heat lazima uitaje Chadema huko CCM hakuna wanaume?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
CCM hakuna wanaume.
Hapa Dom kuna "wavaa suruali" ambao kazi yao kubwa ni kujichubua na "kudanga" kwa wamama na wababa wenye hela.
Kwa kweli sisi ambao Mungu katubariki sana kiuchumi na kifedha, tunapata shida sana dhidi ya hawa "wanasodoma na ghomora".
 
Onyesha umama wako kwa kufanya yafuatayo nchini Ili sisi vijana tukikaa bila Kazi ndo utusimange.
Ndani ya miaka 3 jinsi ya kuleta maendeleo na kumaliza tatizo la ajira nchini.
1.Ondoa futa kodi zote za kuingiza magari ya mizigo na abiria nchini kodi yake utaipata mara mbili yake kupitia indirect tax.Kwenye mafuta,leseni za udereva,fine za traffic, parking fee,ushuru wa stand,spare za magari,leseni na vibali mbalimbali.Gari moja uajiri si chini ya vijana 3.
2.Toa ruzuku kwenye viwanda vya kuzalisha matrekta wazalishe matreka mengi waje watuuzie wakulima kwa robo bei trekta moja uajiri zaidi ya watu wanne.
3.Jenga schemes za umwagaliaji KILA kijiji upitapo mto pande zote mbili watu walime mwaka mzima ni aibu sana kwa maji ya mito kumwaga maji yake baharini badala ya mashambani.Soko la mazao nje ya nchi lipo tele
4.Jenga vyuo vya ujuzi kila kata kopesha vijana ujuzi baada ya kumaliza darasa la saba wakapate ujuzi wautakao.
Kukopesha vijana waende chuo kikuu kisha warudi mtaani kuendesha bodaboda na kuwa machinga ni upotevu Mkubwa Sana wa kodi zetu na kuongeza idadi ya masikini nchini.
5.Fungua mipaka watu wauze watakapo nje ya nchi kuna masoko tele.Legeza masharti ya vibali Ili export ikue.
Ni sekta mbili tu zingine takataka hazifikii kilimo na madini kwa kuajiri vijana wote nchini na kuongeza pato la taifa bila kutegemea kukopa na kukamua kodi wananchi.
6.Peleka KILA kijiji mashine za kutengeneza interlocking block na vigae Ili watz wote wajenge nyumba bora kwa gharama nafuu kabisa
Mjerumani kwa miaka 15 alituletea maendeleo makubwa Sana ccm imeshindwa nini.
 
Sio aibu tu, Bali ni fedheha.
Yaani kwa fursa zilizopo Tanzania kijana unakosaje kazi.

Umeshindwa kulima,
Umeshindwa kufuga,
Umeshindwa hata kutengeneza funza uwauizie wafugaji kuku.
Umeshindwa kutengengeneza hydroponic folder uwauzie wafugaji.
Umeshindwa hata kutafuta pori ukapande majani ya ng'ombe(hayahitaji mbolea Wala kumwagilia) upige hela

Ukiziorodhesha zinaweza zikafika laki Saba
Mkuu walioezoea kutumwa hayo yote huona ni shida, uvivu mwingi, bila mjeledi punda haendi,ndio maana wazungu wakageuza waafrka watumwa
 
Naam ni kweli kabisa ni aibu kwa Taifa lenye Resources za kutosha kushindwa kutengeneza employment / Mambo ya kufanya ili watu wajipatie kipato cha kutosha kuendesha maisha yao....

Hapa issue sio kazi tu bali kazi yenye ujira wa kutosha..

Kwahio aibu sio kwa wakosa kazi bali waliopewa kazi ya kutengeneza Sera za kuhakikisha hakuna wakosa Ajira
 
Sio aibu tu, Bali ni fedheha.
Yaani kwa fursa zilizopo Tanzania kijana unakosaje kazi.

Umeshindwa kulima,
Umeshindwa kufuga,
Umeshindwa hata kutengeneza funza uwauizie wafugaji kuku.
Umeshindwa kutengengeneza hydroponic folder uwauzie wafugaji.
Umeshindwa hata kutafuta pori ukapande majani ya ng'ombe(hayahitaji mbolea Wala kumwagilia) upige hela

Ukiziorodhesha zinaweza zikafika laki Saba
Mlioko makazini mna maneno fulani ya kipuuuzi
 
HAHAH aisee Rais yeye ndio anatakiwa kuona aibu kuongoza taifa la vijana wasio na ajira wanaokadiriwa kuwa 70%.
Kweli madaraka matamu leo hii samia anawashangaa vijana wasio na ajira?
Hivi hao vijana watajiajiri vipi ikiwa bidhaa ambazo wangenunua na kuuza zimepandishwa kodi na bei juu?
Vijana wataajiriwa na nani ikiwa makampuni yanayofanya baishara huduma na bidhaa kodi ziko juu?

Kimsingi Rais afanye jambo moja kwenye ile dola billion elfu sita kila kijana apewe million moja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] daaahhh
 
Back
Top Bottom