Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

Kama amepewa KAZI Zima moto,

Zima moto wapelekwe kuwa wavuvi Ili KAZI iendelee😃😃
 
Kubwa sana hii, hata France walifanya hivi kwa yule dogo mwafrika aliyeokoa mtoto ghorofani
Sema yule dogo wa Ufaransa(Mamadou Gassama) alishindwa kazi na hakuajiriwa tena kwenye jeshi la uokoaji maana katika trial alishindwa kufika vigezo na ikabidi wamwambie atafute profession nyingine. Yeye tatizo hata kifaransa alikuwa hajui though anatoka Mali. Ila huyu Maja Munyama naona kabisa atamudu masomo.
 
Hakika Rais Samia Ni kiongozi mwenye upendo na huruma Sana kwetu watanzania, Ni kiongozi anayethamini mchango wa kila mtanzania, Ni kiongozi anayemjali kila mtanzania, Ni kiongozi mwenye moyo wa uongozi na Nikiongozi anayetambua juhudi za kila mtanzania, Ni mfariji wetu wakati wote na Tumaini letu watanzania wakati wa shida zinazohitaji kiongozi kusimama mbele yetu kutuongoza, Pole sana Rais wetu na Hongera kwa moyo wako wa uzalendo kwa nchi yetu na Taifa letu
 
Ushindi kwa serikali? Kwani kuna mashindano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…