900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Nijambo jema ila sasa akifika kule baada ya shibe ataishia kwa wenzake tu kufunja matofali siku ya sherehe ya uhuru na kuruka na parachutiNi agizo kutoka kwa Rais Samia,
Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja...
Hata mimi, na kazini kwenyewe anakwenda kutana na frustrations za kutosha tu, halafu jingine si mpaka apite kozi pengine hataki hata kuingia darasani tena.Bado siamini kama ndoto ya huyu kijana nikulitumikia jeshi, pengine angewezeshwa kwenye maono yake.
Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
WATAKAPOTEZA KWA WIVU,NAWAJUA SANA.Kuna uwezekano wa kwenda kuua kabisa uwezo wake! Hao wenye mafunzo na uzoefu hawajatokea, unafikiri nini kitampata huyo jamaa. Ni bora aendelee na uvuvi.
Kauli yako inanichoma na kuniumiza sana.Vijana hao ni adimu kuwapata.
Ajira za vitengo sikuhizi ni ndugunization na watu hawafany kazi.
Na yule askari mpuuzi aliyemzuia asifungue mlango wa pilot na baadaye pilot kafa amefanywaje? Hizi nguchiro zinazoitwa askari ni majanga matupu. Hatusahau MVBukoba waliamuru kutoboa kumtoa mhindi ikazama!!Haya ndo mambo ya maana sasa, kwani ushujaa wake ni kielelezo tosha cha kupata ajira.
Unampaje 1ml akishaanza kuzitumia tu dakika chache zimeishia ilhali amejitoa nafsi yake kuokoa watu ambayo walikuwa wakiangamia.
Naunga mkono Hoja....mdogo wa Ex wangu kafia kwenye hyo ajali...nimeumia sana maana she was still very young and beautiful....na alikuwa anamfuata mchumba wake Bukoba....nimeumia sana sanaDaah nimewaza mengi sana,wenye uzoefu na utaalam wangewahi pengine hata pasingehitajika kubomoa ule mlango, pengine lillikuwa kosa, tuseme nini sasa ila kukubali matokeo.
Tumpongeze kwa bakoraMimi naomba yule aliemkataza huyo kijana asivunje kioo atajwe. Tumpe pongezi kwa kuua marubani
hiki ndo kilitakiwa kifanyike na kwa wakatiMbona hii ipo airwing Dar?
Kwa hiyo hapa tumsifu nani, huyo anayetoa amri ya kijana kupata ajira?Ni agizo kutoka kwa Rais Samia,
Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja.
Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa.
poleni sana ndugu, ajali imechukua wasomi tupu.Naunga mkono Hoja....mdogo wa Ex wangu kafia kwenye hyo ajali...nimeumia sana maana she was still very young and beautiful....na alikuwa anamfuata mchumba wake Bukoba....nimeumia sana sana
Ni tukio kubwa sana kwa kweli lakini limechukuliwa very lightly, na imeisha.Kwa hiyo hapa tumsifu nani, huyo anayetoa amri ya kijana kupata ajira?
Matukio kama haya yanapotokea hawa viongozi wanatakiwa kuyachukulia kama makumbusho kwao juu ya yale mambo muhimu waliyosahau kuyawekea uzito. Ni kukumbushia na kuanza hatua muhimu za kurekebisha upungufu huo, na siyo kuchukulia kivyepesivyepesi kama hivi inavyochukuliwa.
Haya, huyo kijana tapata ajira, na baada ya hapo itakuwaje?
Watu wanaosimamia haki katika hili taifa wana hila na ni wachoyo sana.Nikikumbuka huwa nasikiitika sana.Anaweza asipate chochote.Kauli yako inanichoma na kuniumiza sana.
Na wala hatujifunzi chochote kutokana na tukio hilo. Sasa tusubiri tukio lingine, nalo tumpate kijana mmoja wa kumpa sifa, na mambo yanaendelea kama kawaida.Ni tukio kubwa sana kwa kweli lakini limechukuliwa very lightly, na imeisha.
Wewe ndio wale vijana wa hovyo kwenye ajari badala ya kuokowa unawasachi majeruhi.Alaaaa kwani kasema anataka kwenda jeshini, embuu watanzania tuache mara moja tabia ya kuchukulia mambo kwa ujumla.
Wampe uyo kijana kitu anataka
Inaonekana wewe unamfahamu vizuri, hivyo ni vyema akafuata ushauri wako!Unafikiri anapenda kuwa mvuvi ?Kumtumikia tajiri ? Bora akaajiriwe huko serikalini nae kwa pesa aliyopewa anaweza pia kununua mitumbwi na kuajiri wavuvi. Au kufanya mwenyewe siku zake za off kazini.
Kwanza hata sio mvuvi. Yeye ni muanika dagaa.Inaonekana wewe unamfahamu vizuri, hivyo ni vyema akafuata ushauri wako!