KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
InaamaanishaHuyu mtu anawadharu mpaka basi, hata lugha yake tu, ni kama anaongea na watoto, kwake yeye unaweza kusema you are just inferior beings na na yeye “ameletwa“ kuwa civilize, sijui hata kwa nini mnamshobokea hivyo, lkn deep inside she has no respect for you, all of you, na haijalishi wewe ni chadema, ccm au Chama chochote, wote ni inferior, ndivyo mimi nilivyomsoma, kwa maana kama mtu ana malalamiko yake halafu unamuita mwanangu, inamaanisha nini ?
Inaonekana we NI rahisi Sana kutongozeka.
Ova
Unaweza ukampenda ntu akitia huruma kidogo.
Angekuwa ana Nia nzuri angetuongoza kizembe namna hii?kidhaifu kbs kuwahi kutokea?hapana kwa kweli bado Nampa 1%.
Uwezo ukiwa mdg NI mdg tu unabaki kusubiri MUNGU asaidie...but mbya Mungu hasaidii maendeleo na ndo maana bado Kuna majanga yanaharibu ustawi.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri.
Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini.
Rais amewaona Vijana wa Marekani walioandamana na Mabango na Fulana wakidai Katiba Mpya na Wabunge wa 19 Wafukuzwe. Amesema ameyaona Mabango na kuyasoma. Ujumbe umefika.
Kuhusu chadema kugomea Vikao vya Baraza la vyama vya siasa, amesema anawaelewa na anaendelea kuzungumza nao ili wajiunge na wenzao.
Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya
View attachment 2199573
Yaani mwigulu tangu a rise kisiasa sijawahi kumwelewa. Kama mnakumbuka jk alimpa u naibu ikazua mjadara balaa watu wakam mind sijawahi kujua uwezo wakeAkina Mwigulu ndiyo wanamharibu
Kwa hiyo hakuwasalimia, hakuwapungia mkono na wala hakusoma mabango kama alivyodai?Hivi unajuaga watanzania wanavyoiga Tabia za kijinga wakienda ughaibuni? Kwanza kabisa lugha, na culture Yao Huwa wanaidharau. Kwa hivyo usingeshangaa kuona hata mayai viza yanatupwa pale Lisa kivuli Cha demokrasia. Sasa USA inarekodi mbaya kabisa ya mauaji yanayotokana na matumizi ya silaha. So huwezi kumtembeza Kwa mguu Rais halafu akajichanganye na watu kama hao. Yes ni haki Yao lakini Kwa Mama huyu Wala haihitaji nguvu zote hizo zaidi ni kujidhalilisha tu. Ikumbukwe jamii ya watanzania haipendi harakati hizi. Yaani huku mitaani hata vijana wa CDM wenyewe wanaponda kitendo hicho labda humu Kwa wafia dini wa JF
Huyo mama alidhani kuwanunua KIGOGO 2014 na kupeana mkono na Mange Kimambi akadhani upinzanii umekwisha nje ya nchi.
Wao walitaka ashikane nao mkono. Waliberali wakubwa hawaKwa hiyo hakuwasalimia, hakuwapungia mkono na wala hakusoma mabango kama alivyodai?
Amandla...
Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri.
Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini.
Rais amewaona Vijana wa Marekani walioandamana na Mabango na Fulana wakidai Katiba Mpya na Wabunge wa 19 Wafukuzwe. Amesema ameyaona Mabango na kuyasoma. Ujumbe umefika.
Kuhusu chadema kugomea Vikao vya Baraza la vyama vya siasa, amesema anawaelewa na anaendelea kuzungumza nao ili wajiunge na wenzao.
Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya
View attachment 2199573
Kitendo cha kuwa controlled kila kitu ni dhahiri uwezo hana.Huyu ana ni nzuri. Hana makubwa sema mafisi yaliyomzunguka Sasa,
Mama alipiga selfie na mange na hakudhurikaHivi unajuaga watanzania wanavyoiga Tabia za kijinga wakienda ughaibuni? Kwanza kabisa lugha, na culture Yao Huwa wanaidharau. Kwa hivyo usingeshangaa kuona hata mayai viza yanatupwa pale Lisa kivuli Cha demokrasia. Sasa USA inarekodi mbaya kabisa ya mauaji yanayotokana na matumizi ya silaha. So huwezi kumtembeza Kwa mguu Rais halafu akajichanganye na watu kama hao. Yes ni haki Yao lakini Kwa Mama huyu Wala haihitaji nguvu zote hizo zaidi ni kujidhalilisha tu. Ikumbukwe jamii ya watanzania haipendi harakati hizi. Yaani huku mitaani hata vijana wa CDM wenyewe wanaponda kitendo hicho labda humu Kwa wafia dini wa JF
Inaamaanisha
Yeye ni mteule wa Mungu
Mkipambana nae mtafeli hehe
Inaonekana we NI rahisi Sana kutongozeka.
Ova
Unaweza ukampenda ntu akitia huruma kidogo.
Angekuwa ana Nia nzuri angetuongoza kizembe namna hii?kidhaifu kbs kuwahi kutokea?hapana kwa kweli bado Nampa 1%.
Uwezo ukiwa mdg NI mdg tu unabaki kusubiri MUNGU asaidie...but mbya Mungu hasaidii maendeleo na ndo maana bado Kuna majanga yanaharibu ustawi.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna dhambi gani kushikana mikono na watanzania wenzake? Mbona alishikana mikono na watanzania na wasio watanzania alipohunduria UNGA?Wao walitaka ashikane nao mkono. Waliberali wakubwa hawa
Ni mpiga dili fulani hiviYaani mwigulu tangu a rise kisiasa sijawahi kumwelewa. Kama mnakumbuka jk alimpa u naibu ikazua mjadara balaa watu wakam mind sijawahi kujua uwezo wake
Duh! Akili ndogo sana wewe! Watu wametoja na ujuzi mkubwa kwenye hizo ajira! Wigo wa kupanua miradi mikubwa ndo ajira zenyewe!Sisi hatutuka ajira temporary. Ajira za tanzanite au mabarabara zilikuwa temporary tu
Mbona Samia anaajiri kila Kona. Walimu, madaktari ambao jpm alishindwa kabisa ikabaki ni vilio kila Kona kila mtu anawaza kuwa machinga tuDuh! Akili ndogo sana wewe! Watu wametoja na ujuzi mkubwa kwenye hizo ajira! Wigo wa kupanua miradi mikubwa ndo ajira zenyewe!
Hata siku moja Serikali haiwezi kuajiri watu wote!,
Mwenendo alioendanao JPM ulikuwa mzuri maana kutokatikakatika umeme watu walifanya shughuli zao bila adha ya umeme!
Akili za kuajiriwa!Mbona Samia anaajiri kila Kona. Walimu, madaktari ambao jpm alishindwa kabisa ikabaki ni vilio kila Kona kila mtu anawaza kuwa machinga tu
Kweli we ni "kanyama"Hivi unajuaga watanzania wanavyoiga Tabia za kijinga wakienda ughaibuni? Kwanza kabisa lugha, na culture Yao Huwa wanaidharau. Kwa hivyo usingeshangaa kuona hata mayai viza yanatupwa pale Lisa kivuli Cha demokrasia. Sasa USA inarekodi mbaya kabisa ya mauaji yanayotokana na matumizi ya silaha. So huwezi kumtembeza Kwa mguu Rais halafu akajichanganye na watu kama hao. Yes ni haki Yao lakini Kwa Mama huyu Wala haihitaji nguvu zote hizo zaidi ni kujidhalilisha tu. Ikumbukwe jamii ya watanzania haipendi harakati hizi. Yaani huku mitaani hata vijana wa CDM wenyewe wanaponda kitendo hicho labda humu Kwa wafia dini wa JF