Rais Samia: Kisiasa tupo vizuri, leo wanangu wamejipanga na Mabango yao nikawaambia nimewaona, nikawapungia Mkono

Huyu mtu anawadharu mpaka basi, hata lugha yake tu, ni kama anaongea na watoto, kwake yeye unaweza kusema you are just inferior beings na na yeye “ameletwa“ kuwa civilize, sijui hata kwa nini mnamshobokea hivyo, lkn deep inside she has no respect for you, all of you, na haijalishi wewe ni chadema, ccm au Chama chochote, wote ni inferior, ndivyo mimi nilivyomsoma, kwa maana kama mtu ana malalamiko yake halafu unamuita mwanangu, inamaanisha nini ?
Inaamaanisha
Yeye ni mteule wa Mungu
Mkipambana nae mtafeli hehe
 
Nashaur chuma kirudi!! Over
Inaonekana we NI rahisi Sana kutongozeka.

Ova

Unaweza ukampenda ntu akitia huruma kidogo.

Angekuwa ana Nia nzuri angetuongoza kizembe namna hii?kidhaifu kbs kuwahi kutokea?hapana kwa kweli bado Nampa 1%.

Uwezo ukiwa mdg NI mdg tu unabaki kusubiri MUNGU asaidie...but mbya Mungu hasaidii maendeleo na ndo maana bado Kuna majanga yanaharibu ustawi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri.

Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini.

Rais amewaona Vijana wa Marekani walioandamana na Mabango na Fulana wakidai Katiba Mpya na Wabunge wa 19 Wafukuzwe. Amesema ameyaona Mabango na kuyasoma. Ujumbe umefika.

Kuhusu chadema kugomea Vikao vya Baraza la vyama vya siasa, amesema anawaelewa na anaendelea kuzungumza nao ili wajiunge na wenzao.

Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

View attachment 2199573

Kwanini alieakimbia? Haya maneno alitakiwa kuyasema mbele yao awambie sio kuongelea mafichoni!
 
Hivi unajuaga watanzania wanavyoiga Tabia za kijinga wakienda ughaibuni? Kwanza kabisa lugha, na culture Yao Huwa wanaidharau. Kwa hivyo usingeshangaa kuona hata mayai viza yanatupwa pale Lisa kivuli Cha demokrasia. Sasa USA inarekodi mbaya kabisa ya mauaji yanayotokana na matumizi ya silaha. So huwezi kumtembeza Kwa mguu Rais halafu akajichanganye na watu kama hao. Yes ni haki Yao lakini Kwa Mama huyu Wala haihitaji nguvu zote hizo zaidi ni kujidhalilisha tu. Ikumbukwe jamii ya watanzania haipendi harakati hizi. Yaani huku mitaani hata vijana wa CDM wenyewe wanaponda kitendo hicho labda humu Kwa wafia dini wa JF
Kwa hiyo hakuwasalimia, hakuwapungia mkono na wala hakusoma mabango kama alivyodai?

Amandla...
 
Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri.

Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini.

Rais amewaona Vijana wa Marekani walioandamana na Mabango na Fulana wakidai Katiba Mpya na Wabunge wa 19 Wafukuzwe. Amesema ameyaona Mabango na kuyasoma. Ujumbe umefika.

Kuhusu chadema kugomea Vikao vya Baraza la vyama vya siasa, amesema anawaelewa na anaendelea kuzungumza nao ili wajiunge na wenzao.

Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

View attachment 2199573

Wabongo mpaka wajifiche walindwe na dola ya mzungu ndiyo wanapata nguvu ya kumpigia kelele Rais. Huko nyumbani wanaufyata. Wazanzibari pekee ndiyo wanaume wanaoweza kazi ya kupigania haki. Waliobakia ni waoga kama kunguru.
 
Hivi unajuaga watanzania wanavyoiga Tabia za kijinga wakienda ughaibuni? Kwanza kabisa lugha, na culture Yao Huwa wanaidharau. Kwa hivyo usingeshangaa kuona hata mayai viza yanatupwa pale Lisa kivuli Cha demokrasia. Sasa USA inarekodi mbaya kabisa ya mauaji yanayotokana na matumizi ya silaha. So huwezi kumtembeza Kwa mguu Rais halafu akajichanganye na watu kama hao. Yes ni haki Yao lakini Kwa Mama huyu Wala haihitaji nguvu zote hizo zaidi ni kujidhalilisha tu. Ikumbukwe jamii ya watanzania haipendi harakati hizi. Yaani huku mitaani hata vijana wa CDM wenyewe wanaponda kitendo hicho labda humu Kwa wafia dini wa JF
Mama alipiga selfie na mange na hakudhurika

Huo ukolo wako peleka msimbazi
 
Ingekua huko Bongo wangepata cha mbwa koko , na wasingesahau maisha yao yote, ila Mungu fundi sana , waliokua wanamshangilia jiwe ndio wako na mama wanamwambia anaupiga mwingi hahaaaa woders shall never end.
 
Inaonekana we NI rahisi Sana kutongozeka.

Ova

Unaweza ukampenda ntu akitia huruma kidogo.

Angekuwa ana Nia nzuri angetuongoza kizembe namna hii?kidhaifu kbs kuwahi kutokea?hapana kwa kweli bado Nampa 1%.

Uwezo ukiwa mdg NI mdg tu unabaki kusubiri MUNGU asaidie...but mbya Mungu hasaidii maendeleo na ndo maana bado Kuna majanga yanaharibu ustawi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Mwenye uwezo mkubwa ni wewe uliyeshindwa hata kuitoa familia yako kwenye ukata
 
Wao walitaka ashikane nao mkono. Waliberali wakubwa hawa
Kuna dhambi gani kushikana mikono na watanzania wenzake? Mbona alishikana mikono na watanzania na wasio watanzania alipohunduria UNGA?

Amandla...
 
Sisi hatutuka ajira temporary. Ajira za tanzanite au mabarabara zilikuwa temporary tu
Duh! Akili ndogo sana wewe! Watu wametoja na ujuzi mkubwa kwenye hizo ajira! Wigo wa kupanua miradi mikubwa ndo ajira zenyewe!
Hata siku moja Serikali haiwezi kuajiri watu wote!,
Mwenendo alioendanao JPM ulikuwa mzuri maana kutokatikakatika umeme watu walifanya shughuli zao bila adha ya umeme!
 
Mbona Samia anaajiri kila Kona. Walimu, madaktari ambao jpm alishindwa kabisa ikabaki ni vilio kila Kona kila mtu anawaza kuwa machinga tu
 
Hivi unajuaga watanzania wanavyoiga Tabia za kijinga wakienda ughaibuni? Kwanza kabisa lugha, na culture Yao Huwa wanaidharau. Kwa hivyo usingeshangaa kuona hata mayai viza yanatupwa pale Lisa kivuli Cha demokrasia. Sasa USA inarekodi mbaya kabisa ya mauaji yanayotokana na matumizi ya silaha. So huwezi kumtembeza Kwa mguu Rais halafu akajichanganye na watu kama hao. Yes ni haki Yao lakini Kwa Mama huyu Wala haihitaji nguvu zote hizo zaidi ni kujidhalilisha tu. Ikumbukwe jamii ya watanzania haipendi harakati hizi. Yaani huku mitaani hata vijana wa CDM wenyewe wanaponda kitendo hicho labda humu Kwa wafia dini wa JF
Kweli we ni "kanyama"
 
Back
Top Bottom