KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
InaamaanishaHuyu mtu anawadharu mpaka basi, hata lugha yake tu, ni kama anaongea na watoto, kwake yeye unaweza kusema you are just inferior beings na na yeye “ameletwa“ kuwa civilize, sijui hata kwa nini mnamshobokea hivyo, lkn deep inside she has no respect for you, all of you, na haijalishi wewe ni chadema, ccm au Chama chochote, wote ni inferior, ndivyo mimi nilivyomsoma, kwa maana kama mtu ana malalamiko yake halafu unamuita mwanangu, inamaanisha nini ?
Yeye ni mteule wa Mungu
Mkipambana nae mtafeli hehe