Hizo ni kampeni bila shaka za chini kwa chini. Kiufupi tutegemee kila kundi muhimu katika jamii kuguswa kwa namna yoyote ile kabla ya hiyo 2025 kufika.

Imagine Askofu Mkuu Ruwaichi kwa kufanya tu Jubilei yake ya miaka 25 ya Uaskofu; alipewa zawadi ya milioni 10!
 
Labda huko korea kusini hakuna wanamuziki, wapo wacheza muvi, tunajiuliza ni mcheza bongo muvi gani aliyepata shavu la kwenda huko akiwa na msafara wake?
 
We si unasemaga upo jikoni hivyo una za ndani? Umeshindwaje kujua kwamba huko Korea ameenda na waigizaji, ziara ya Marekani ndio ataenda na wanamuziki?
 
We si unasemaga upo jikoni hivyo una za ndani? Umeshindwaje kujua kwamba huko Korea ameenda na waigizaji, ziara ya Marekani ndio ataenda na wanamuziki?
Bosheni tu huyu naye
 
We si unasemaga upo jikoni hivyo una za ndani? Umeshindwaje kujua kwamba huko Korea ameenda na waigizaji, ziara ya Marekani ndio ataenda na wanamuziki?
Ikifika zamu yetu sisi wauza madafu atupereke oman
 
Nenda kwa yule mganga mmama wa bagamoyo akupike uonekane safari utaenda zote
Ngoja nisumbirie awe katika Period ( Blidi ) yake ndiyo nikamtafute kwani akiwa na hiyo Hali ndiyo anakuwa Hatari sana.
 
Ngoja nisumbirie awe katika Period ( Blidi ) yake ndiyo nikamtafute kwani akiwa na hiyo Hali ndiyo anakuwa Hatari sana.
Duh kwahio mganga anatangazaga kabisa yupo kwenye blidi wateja ndo waje,,,,au wateja mnajuaje kwamba muda muafaka umefika
 
We si unasemaga upo jikoni hivyo una za ndani? Umeshindwaje kujua kwamba huko Korea ameenda na waigizaji, ziara ya Marekani ndio ataenda na wanamuziki?
Unaweza ukaniwekea hapa post yangu yoyote ya tokea nilipojiunga rasmi hapa JamiiForums mwaka 2013 niliyosema kuwa Mimi nipo System ( TISS ) huko ambako unajiita Jikoni ( kwenye Habari za Ndani ) kukithibitisha pasi na Shaka hiki ulichokiandika hapa? Vipi hujavutiwa kutaka kufanya Kazi ya Usemaji Singida Big Stars FC? Kumbukumbu ya mwaka 2016 bila shaka bado unayo. Ngoja niishie hapa kwa Leo.
 
unafikiri ungeambiwa wewe umpe kampani usingeenda acha wivu wale wameitwa tu na sio kwamba wataongeza gharama ya hilo lindege
 
We si unasemaga upo jikoni hivyo una za ndani? Umeshindwaje kujua kwamba huko Korea ameenda na waigizaji, ziara ya Marekani ndio ataenda na wanamuziki?
Achana kijana mjivuni asiejua lolote huyo.
 
Ni jambo zuri sana asiwasahau umoja wa bodaboda,bajaj,malori,mabus,wazee wa kubeti...nila kusahau wazee wa kisimiri na olkokola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…