John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Wenyewe wahusika wapo humu JF wanatumia ID fake, watakuja kulijibu swali hilo.Swali zuri. Nani wa kulijibu sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe wahusika wapo humu JF wanatumia ID fake, watakuja kulijibu swali hilo.Swali zuri. Nani wa kulijibu sasa?
Kwana namna hii bora wale walio kua wanapinga kua asibadili kwenye nafasi ambayo yupo sahvi wangefanikiwa tu zoezi laoRais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao.
Rais Samia amesema hayo usiku huu wa leo May 25,2024 wakati akishiriki uzinduzi wa album mpya ya Msanii Harmonize katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambapo amesema “Tunapofungua Nchi Wageni wanakuja kwetu na sisi tunakwenda kwao na mara nyingi ninapokwenda kwao huwa nafuatana na jopo la Wafanyabiashara, sasa nataka kugeuka kidogo nataka sasa niwe nachukua Wasanii”
“Nataka nifuatane na Wasanii inategemea ratiba yangu kule nakokwenda lakini kila ninapokwenda kukiwa na matamasha ya utamaduni nitabeba Wasaniii lakini zaidi nitakuwa na safari keshokutwa na moja ya kazi ninayokwenda kuifanya ni kutafuta nafasi za mafunzo kwa Wasanii wetu hasa Waigizaji”
“Tunakwenda Korea na mnawajua ni Wazuri sana kwa kuigiza, michezo yao naona inatambatamba kwenye TV zetu, kwahiyo tunaenda kutafuta nafasi za mafunzo na nadhani tutafanikiwa”
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao.

Mama angu nakupenda sana lkn hapo umekosea sana sana wewe kweli una time ya kwenda katika mambo ya kijinga waziri wako wa michezo anafanya kazi gani ,baada ya kukaa na kufikiria mambo ya maana unakwenda katika upuuzi .Nchi haina UMEME .MAJI .BARABARA .AFYA Mambo ni mengiiiii sana .Rasi samia suluhu unataka maendeleao ya kweli weka UMEME wa Uhakika Maji ya Uhakika bila ya energy ya kutosha yote hayo ni bure tu .Weka Dar iwe hub ya biashara iwe Business Center Punguza Ushuru weka 5% kwa Wazawa uangalie mambo .Wazambiya .Wamalawi .Waruanda Wakongo na Majirani wote watakuja TZ kununua vitu .Ongeza mishahara kwa wote weka usalama wa kutosha yoyote atakaeiba unamfunga na kumfilisi kila kitu hiyo ndio adabu yao .Waziri yyote mpe miezi sita hadiilivari basi out weka mwengine mpk utapata watu wazuri.Nina mengi ya kusema iwish nikuone.Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao.
Rais Samia amesema hayo usiku huu wa leo May 25,2024 wakati akishiriki uzinduzi wa album mpya ya Msanii Harmonize katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambapo amesema “Tunapofungua Nchi Wageni wanakuja kwetu na sisi tunakwenda kwao na mara nyingi ninapokwenda kwao huwa nafuatana na jopo la Wafanyabiashara, sasa nataka kugeuka kidogo nataka sasa niwe nachukua Wasanii”
“Nataka nifuatane na Wasanii inategemea ratiba yangu kule nakokwenda lakini kila ninapokwenda kukiwa na matamasha ya utamaduni nitabeba Wasaniii lakini zaidi nitakuwa na safari keshokutwa na moja ya kazi ninayokwenda kuifanya ni kutafuta nafasi za mafunzo kwa Wasanii wetu hasa Waigizaji”
“Tunakwenda Korea na mnawajua ni Wazuri sana kwa kuigiza, michezo yao naona inatambatamba kwenye TV zetu, kwahiyo tunaenda kutafuta nafasi za mafunzo na nadhani tutafanikiwa”
Atakuwa ni yule Ndugu Waziri Rajab Salum,katibu wake binafsi.Nina mashaka makubwa Sana juu ya Watu wa karibu ambao wanafanya kazi Ikulu katikà Ofisi ya Rais, hawamshauri vizuri Rais kiasi Cha kumfanya Rais huyo aonekane kama kituko mbele ya jamii. Very sad indeed!
Yee mwenyewe mjanja mjanja.Hivi mama yetu anajua namna watanzania wanavyowachukulia wasanii na sanaa hapa Tz?
Laiti kama angejua sifa kubwa za wasanii wa tz ni uhuni, umalaya, ulevi, utapeli na ujanja ujanja, huenda asingetoa hiyo hotuba.