EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Ataenda na ujumbe wa wanaccm tena?Wakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo.
Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya HH.
Akifika Congo atapokekewa na Mwenyeji Wake Rais Felix Tshisekedi.
Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi
duh..si kweli kwamba nchi zote anazotembelea hazina mchango katika uchumi wetu...hivi unafahamu kwamba Congo ni land locked country,Rwanda je? hivi unajua kwamba ndani ya mwezi mmoja huu kuna meli kubwa sana zimekuja bandari yetu ya Dsm zikiwa na shehena kubwa na nyingi ni za kwenda kwa nchi zetu majirani...tusipoteshe haisaidii na kama hatujui ni bora kufuatilia au kuulizaKama mshauri wake ni vasco da gama unategemea nini?
Halafu nchi anazosafiri kwenda zina mchango mdogo kwenye uchumi wetu.
Asafiri kutafta wawekezaji wa maana huko Ulaya walete mitaji kutusaidia ku exploit hizi natural resources tulizonazo.
Sio muda utasikia ana ziara Somalia.
Yaani hapa tumeingia cha kike kweli.
Aligombea nafasi ya urais?Ni mwanamke lakini haogopi kupinduliwa tofauti na yule mwanachato
Tuache kufanya mzaha na ziara za raisNitafurahi Sana Rais wangu mpendwa akienda Afghanistan kuwapongeza Taliban kwa kutwaa umiliki wa ardhi yao
Ulikuwa Wapi MkuuDuh hii nimepitwa
Washajua hakuna chochote anachojua.Wanamkimbizakimbiza ili wapige kiulaini sana
Kwa maana hiyo ujumbe huu alioenda nao Zambia ndio utakaokwenda DRC. Kama ndivyo basi tumekwisha. Kwangu mimi ujumbe wa Zambia ulikuwa wa kichama zaidi kutokana na kusheheni makada wa chama. Hebu fikiria mtu kama kibajaj kutuwakilisha anaenda kusema nini maana huko hamna mipasho. Kama ni kweli anataka kwenda DRC naonelea Bora azidishe huu ujumbe wa kichama nyumbani ndipo aunde ujumbe wa kiserikali wa kwenda nao huko DRC.Wakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo.
Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya HH.
Akifika Congo atapokekewa na Mwenyeji Wake Rais Felix Tshisekedi.
Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi
Maneno ya uzushi....Nchi inaendeshwa toka Msoga, unategemea nn..
Bado hujaniwekea STATISTICS.....Hili ndilo swali ambalo ulipaswa kuniuliza immediately nilivyodai kuwa hao akina Congo hawana thamani kwetu na wala siyo kudai bila data wala statistics kuwa hizi regional economy ni muhimu sana kwetu.
Wapotoshaji hao....duh..si kweli kwamba nchi zote anazotembelea hazina mchango katika uchumi wetu...hivi unafahamu kwamba Congo ni land locked country,Rwanda je? hivi unajua kwamba ndani ya mwezi mmoja huu kuna meli kubwa sana zimekuja bandari yetu ya Dsm zikiwa na shehena kubwa na nyingi ni za kwenda kwa nchi zetu majirani...tusipoteshe haisaidii na kama hatujui ni bora kufuatilia au kuuliza
Kwanza unakiri kuwa umekosea kuandika porojo kwenye masuala ya uchumi bila ya kuwa na evidence?Bado hujaniwekea STATISTICS.....
Weka statistics kuwa uhusiano na nchi zilizotuzunguka hazituongezei uchumi wetu.....Kwanza unakiri kuwa umekosea kuandika porojo kwenye masuala ya uchumi bila ya kuwa na evidence?
Khaaa!!!Unanisumbua kuwa nikuwekee statistics wakati hutaki kukiri kuwa umekosea kuandika porojo katika masuala ya uchumi?WTF!!!Weka statistics kuwa uhusiano na nchi zilizotuzunguka hazituongezei uchumi wetu.....
Raisi akiwa hasafiri mnaongea pumba😅 huyu anaesafiri nae mshaanza mashudu kabisaAnapenda kuzurura kama yale mapaka yasiyofugwa.Halafu anahangaika sana na nchi ambazo hazina tija kwa Taifa.Ataanza ziara za kuwatembelea wahisani wetu lini?
Sisi si wakuzurura hivi aisee mbona wao wametulia tu kwakoWakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo.
Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya Hakainde Hichilema.
Akifika Congo atapokekewa na Mwenyeji Wake Rais Felix Tshisekedi.
Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi
Hivi kweli unakumbuka tulikoanzia?!Khaaa!!!Unanisumbua kuwa nikuwekee statistics wakati hutaki kukiri kuwa umekosea kuandika porojo katika masuala ya uchumi?WTF!!!
Watu wa "shudu" hao....Raisi akiwa hasafiri mnaongea pumba😅 huyu anaesafiri nae mshaanza mashudu kabisa