fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hii hata the late mwalimu alikuwa anafanya,fanyeni utafiti kwanzaWashajua hakuna chochote anachojua.
Washamsoma kuwa huyu hamna kitu, aisee Ila safari hii tumepatikana. CCM watavuna kwa kadri ya watavyoweza.
Hebu fikiria mwenyekiti wa CCM mkoa nae anahudhuria sherehe ya uapisho wa raisi
Mkuu unavuka mipaka aisee! Ukiachilia mbali cheo chake lakini kwa umri wake tu anastahili heshima. Sio poa aiseeUkiona mwanamke aliyeolewa siku za karibuni halafu kutwa nzima anazurura kwenye nyumba za watu basi ujue umepigwa. Huyo atakuwa mmbeya au malaya.
Huyo jamaa kwao MANENO YA MATUSI ,DHIHAKA NA KEDI ni kama uji kwa mtoto......Mkuu unavuka mipaka aisee! Ukiachilia mbali cheo chake lakini kwa umri wake tu anastahili heshima. Sio poa aisee
Umesoma nilichoandika?Wapi nimepinga Rais kusafiri?Hoja yangu ni kwamba Rais anapotoa kipaumbele cha kusafiri kwenda Congo,Burundi sijui Zimbabwe,je hizo ndiyo nchi zenye tija kwa Taifa letu kuliko nchi nyingine duniani?Raisi akiwa hasafiri mnaongea pumba😅 huyu anaesafiri nae mshaanza mashudu kabisa
Ubadhirifu mtupu. Eti anaenda kujitambulisha kwa majirani. Hiyo ndio tofauti ya washauri wa jpm aliyowatoa na hawa wenzake aliyowaweka. Akili ya upigaji tu. 'Ukipata tumia ukikosa jutia' ndio namna wanavyofikiri.Wakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo.
Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya Hakainde Hichilema.
Akifika Congo atapokekewa na Mwenyeji Wake Rais Felix Tshisekedi.
Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi
Sio kweli hujui kitu tulia wewe, DRC ni kubwa saana. Hiyo mizigo inayopitia tunduma ni inayoelekea Jimbo la kusini la Katanga ambalo makao makuu yake ni Lubumbashi. Nikuulize mizigo inayoelekea majimbo ya Kivu kusini na Kaskazini miji ya Goma na Bukavu inapitia wapi?Mizigo mingi ya DRC inapitia mpaka wa Tunduma, inaingia Zambia, Ndola, kisha Lubumbashi, siyo Kigoma. Kuna reli inajengwa kuelekea Tunduma?
Zina tija ndio kwani hawalipi hela za huduma mnazowapa?Umesoma nilichoandika?Wapi nimepinga Rais kusafiri?Hoja yangu ni kwamba Rais anapotoa kipaumbele cha kusafiri kwenda Congo,Burundi sijui Zimbabwe,je hizo ndiyo nchi zenye tija kwa Taifa letu kuliko nchi nyingine duniani?
Hoja yangu ni kwamba mtu hapaswi kutoa taarifa za kupotosha katika jukwaa hili.Kwa kuwa ulitoa taarifa za kupotosha na ambazo hazina evidence unapaswa kwanza kukiri kuwa umekosea na uwaombe msamaha wana jukwaa hili halafu baada ya hapo ndipo mimi nikusaidie kuweka evidences zinazoonyesha ni nchi gani zinapaswa kuwa kipaumbele chetu.Hivi kweli unakumbuka tulikoanzia?!
Mjadala usio na "argumentum ad hominem" ni ule uendao kwa NIDHAMU...
Ulinipinga kuwa ninaongea "pang'ang'a" kwa kutoweka statistics ya jinsi tunavyonufaika na uhusiano na nchi zinazotuzunguka(anazokwenda mh.Rais)....
Kwa kuwa hatuko mahakamani...nikategemea utakuja na STATISTICS zako...
Mimi sijakutukana popote pale labda uniwekee ushahidi hapa kuwa nimekutukana.sijaziona bado zaidi ya tabia yako koko ya matusi ,kedi na dhihaka....
Matusi hayauzwi mzeya....
WAKATI RAIS FULANI ALIKUWA HASAFIRIKiluka njia
Alisemaje mkuu?Anataka Vifua Matiti Saa Sita
Ila Kazi Nzito Ipo Yaani Ameongea Mpaka Unajiuliza Kawaza Nini
mkuu kuna mradi uliosimama kwani?Dah huyu mama Hana hbarii na miradi kabisaa
Mkuu sijasema kuwa hazina tija,hoja yangu ni kipaumbele.Taifa huongozwa kwa mujibu wa vipaumbele.Rais anapoweka kipaumbele cha kuitembelea Congo,Burundi sijui Zimbabwe, je hizi nchi zina tija kuliko mataifa mengine duniani?Zina tija ndio kwani hawalipi hela za huduma mnazowapa?
Afghanistan itapendeza. 🤔Mama sasa atafta safari kwenda nchi kubwa outside ya continent.