Rais Samia kuanza safari ya kikazi nchini DR Congo

Dah! Mkuu umejua kunichosha..

Nilipoona umeanza kwa kuhoji no credible information has been provided to suport utija wa nchi tajwa, nikajua utamalizia kwa kutoa credible information kujustfy kukandia kwako.

Sio poa Mkuu kuchoshana! Don't do this next time.
 
Ni kweli unapokataa taarifa uliyopewa ni vizuri uje na taarifa mbadala baada ya kuweka maneno kutoka kwenye Oxford English Dictionary tu bila hizo data, information, statistics na what have you! Ukifanya hivyo kila mtu makini humu JF atakubaliana na wewe.
 
Wee mzes Congo ana mchango mdogo kwa Tanzania kuwa siliazi mkuu
 
Alienda comoro juzi vasco
 
Mimi nilikuwa namhoji mleta comment ili nijue majibu anayotoa yapo official kiasi gani au ni porojo tu.
 
Sawa. Lakini siwalikataa kutukopesha on those slim and flimsy reasons za mazingira!
Sasa kama Bwawa halikidhi vigezo vya kimazingira kwa nini wakopeshe?
Mimi sijasema kuwa Bwawa lilikuwa na controversial issues kwetu sisi pekee.Nilichokuwa namaanisha ni kuwa Bwawa lilikuwa controversial kwa taasisi ambazo Tanzania inafanya nazo kazi na pia kwa Tanzania yenyewe ndiyo maana kuna profesa aliwahi kuandika research juu ya ujenzi wa Bwawa hilo na kuonyesha kuwa halifai kujengwa katika eneo husika.

Tanzania imesaini mikataba mingi sana ya kimataifa including mikataba ya kimazingira.Kama kwenye taasisi za kimataifa ambazo Tanzania imesaini mikataba huko zimeona kuwa Bwawa halijakidhi vigezo vya kimazingira na kwa hiyo halifai kujengwa kwenye eneo husika kwani kuna shida gani hapo?

Kwani Tanzania ililazimishwa kusaini mikataba hiyo?Tanzania si ilisaini mikataba hiyo ili kuridhia maamuzi mbalimbali yatakayokuwa yanatolewa na taasisi hizo?
 
Oooh hongera kwake, Ikiwezekana hata hapa awe anapita ontransit tu.. Tunamuahidi kuendelea kulipa tozo kwa bidii
 
Mikataba ipi? Mbona juzi timu ya wataalamu wetu ilikuwa pale Geneva na ikawaelimisha wanachama na viongozi wa UNESCO ambao walitaka kuifuta Selous kutoka kwenye orodha ya Urithi wa Dunia!? Lakini walipopewa data na facts na figures na statistics sahihi, wao wenyewe walikubali kuwa tulilisha "matango pori" na akina TOBO na NYEPESI na hivyo kugeuza na kufuta hiyo dhamira yao ya awali na kuibakizia Selous hadhi yake ya awali.

Kusaini mikataba ni kitendo cha uungwana lakini kama kuna upotoshaji, mnayo haki ya kupinga na kutoa elimu sahihi ili Jumuiya ya Kimataifa iiuone ukweli na kutoa uamuzi sahihi.
 
Wapi nimeandika Kongo ,Burundi ,Rwanda na Kenya kuna tija kwetu kiuchumi kuliko nchi NYINGINE ?!!!

Unaniwekea mdomoni mwangu yanayopita kichwani mwako?!!
Mimi nilidai kuwa siyo sahihi Rais kuzunguka hapahapa Afrika mashariki kila siku.Wewe ukasema ni muhimu sana kwa sababu ya regional economy.

Hapa ulisahau kuwa Rais anapaswa kuzunguka kulingana na vipaumbele vyenye tija.Taifa huwa linaongozwa kwa kuangalia vipaumbele na wala siyo kwa mapenzi ya Rais.

Wewe ulipodai kuwa ni muhimu Rais kuzunguka hapahapa Afrika mashariki kwa sababu ya regional economy ulipaswa kutoa data zinazoonyesha kuwa hizi nchi zinazotuzunguka zina tija kuliko Mataifa mengine mfano ya Ulaya na Marekani na zinapaswa kupewa kipaumbele.Hukufanya hivyo na hilo ndiyo kosa lako ambalo unapaswa kuomba msamaha kwa uma.
Sikuweka hizo STATISTICS za kusupport hoja yangu....haya nazisubiri STATISTICS zako "kinzani"......
Nimeshakuambia huko juu kuwa sitaweka statistics hapa ni mpaka uombe msamaha kwa uma kwa kosa ulilofanya hapo juu.Hujaona comment hiyo?
 
Achanje tuu mbuga hamna namna tushaingia cha kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa huwa linaongozwa kwa kuangalia vipaumbele vyenye tija na wala siyo kwa mapenzi ya mtu kama wewe unavyodai kuwa ni muumini wa regional intergration.

Kama regional intergration haina maslahi mapana kwa Taifa haipaswi kuwa kipaumbele cha Taifa.Mfano labda kama Japani amewekeza zaidi Tanzania kuliko Burundi na tunapata mapato mengi pamoja na faida nyingine kutoka Japan basi Japan huyo anapaswa kuwa kipaumbele chetu na wala siyo huyo Burundi ambae hana Tija kubwa kwetu.
 
Hii nchi ina miaka zaidi ya 60 sasa toka tuipokee toka kwa Mkoloni, ila ni kama tumepata Uhuru mwezi uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…