Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

Narudia tena na tena, huyu msaliti, mwongo, mropokaji mpaka ale kitanzi! Nimekaa hapa nakunywa kahawa.
1: Kweli Lissu ni msaliti wa Taifa na atanyongwa, sababu ameuza bandari yetu kwa DP world waarab kwa mkataba wa MIAKA 💯.

2:,Lissu akawafukuza wamasai Loliondo akawapeleka Korogwe kwa nguvu, na kupora ardhi yao na kuwapa waarabu kilometa nyingi tu.

3: Lissu amekuwa akiingia mikataba yote ya madini tangu enzi za Rais Mwinyi hadi Mama, amewazuia wazungu na makinikia analipwa billions of money.

4: Tena nimemuona Lissu anachimba makaa ya mawe adimu sana kule Somanga kusini mwa Tanganyika, anauza nje malori kwa malori tena tons kwa tons,,

5: Haitoshi Lissu aliingia mikataba kama mkuu wa Nchi,, ya kuuza gas yote kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara, na kuisafirisha ulaya.

LAZIMA AFE KWA MAKOSA HAYA.

6: Lissu ana vituo vya mafuta( Petrol stations) Tanganyika nzima. Lissu Hana uchungu wowote na Nchi hii. Lissu, Lissu Lissu.

7: Na mwisho Lissu alijifanya kapigwa risasi wakati nilimuona anaendeesha gari mwenyewe hadi Mombasa Kenya akidanganya kuwa anatibiwa Nairobi Hospital, kisha akenda kutalii Marekani akijidai yuko ubelgiji.

Mtoto wa shule una lingine, uongezee kumhusu msaliti Lissu ?
 
Watu wote tuliowaamini wamefeli na wametuangusha kun mda naamini kunahitajika fikra mpya hizo zilizopo zinazoongoza zimefeli
 
Lisu anatoa Siri Kwa mabeberu na anashirikiana nao Kwa namna ya kuwapa mapungufu ya kisheria Ili kuibia nchi yetu
 
MaMA ni msikivu ni Imani yangu huyo mropokaji wenu ataachiwa lkn ingefaa zaidi baada ya uchaguzi. Kwani watz hatuko tayari kuona kinanukishwa wakati was uchaguzi na huyo mbeligiji koko
Hii ni lugha ya wahusika, wapanga tukio na watekelezaji kwenye tukio la September 7,, 2017, nyumba za serikali makazi ya wabunge Dodoma.
 
si ulitaka chai iweje ulalamike unaungua?
 
Lissu anataka khaki
Samia anataka madaraka Haram

Ving'ora vimemlevya
 
Unaongea kama mpumbavu punguani chizi majalala

Hiyo kesi mbowe ilikua unaifuatilia mwenyewe? Kesi ipp humu itafute uisome kisha rudi ujisome uone ulivyo mjinga
 
Kuna taarifa walijua mambo ya mtandao tu ila wamepima wamejua watu wapo serious na nchi yao, vikao haviishi kuokoa Tanganyika
 
Mleta mada naomba niulize swali moja je Lissu amewahi kuuza rasilimali zipi za Tanzania?

Je nani ameuza bandari za Tangayika na mbuga za wanyama 2023?
 
Watu wote tuliowaamini wamefeli na wametuangusha kun mda naamini kunahitajika fikra mpya hizo zilizopo zinazoongoza zimefeli
Kifupi anahitajika Traore au taasisi inayolinda mipaka iamue vinginevyo !isimamie mfumo mpya uundwe Ili ajaye asiharibu!!

Wenye maslahi ndani ya chama na serikali hawataki mfumo mpya uundwe!!
 
Ina maana yule mtu ni hatari sana kiasi hicho?
 
..Na alivyokamatwa ndio kinanuka zaidi.

..Vyama vinashindwa kuelezea sera, na ilani zao, vimebaki kumzungumzia Tundu Lissu.

..Kimeishanuka tayari.🤣
Naoana vyama vinafanya comedi tu.....hahaua. ni kama vile vimerogwa sio tawala wala pinzani.

Chama kweli ni kimoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…